N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Kama wewe ni mkulima, mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari... kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri.
Nini ufanye:
Ushauri:
Usiitese Familia yako kwa kuhudumia chuma ambalo huna uwezo wa kulihudumia...aka jini.
Matusi yanaruhusiwa, ila ukipigwa bani sihusiki.
Nini ufanye:
- Nunua bodaboda au Bajaj unaweza imudu
- Tumia usafiri wa umma kv mwendo kasi au daladala au taxi.
Ushauri:
Usiitese Familia yako kwa kuhudumia chuma ambalo huna uwezo wa kulihudumia...aka jini.
Matusi yanaruhusiwa, ila ukipigwa bani sihusiki.