Kama una gari na huwezi kununua mafuta na kuwasha AC continuously umevamia pori

Kama una gari na huwezi kununua mafuta na kuwasha AC continuously umevamia pori

ni kweli lakini ukishakuwa na gari utaelewa sio lazima kila siku ulitumie...!! kwa dar hizi foleni kiukweli mimi gari binafsi kuna muda naona kama kikwazo.
Wakati wa kumiliki gari ulikuwa bado.
 
Gari sio lazima kulitumia kila siku. Uchumi ukiwa vibaya park, tumia usafiri uliokuwa unatumia kabla ya kulinunua.

Ni kama ilivyo simu tu, kwan kila wakati huwa inakuwa na vocha/ bandle?

Utasema mtu asinunue iphone pro max, bora anunue tecno change aweke vocha.

Maisha ni kuchagua.
 
Ukweli kabisa hayo madude muda mwingine yanateteresha uchumi wa watu, hususani wale wenye kipato cha kuunga unga
Juzi tu hapo nimetoka kupururiwa 1,500,000.00 ubaya chuma ikiwa gereji unachanganyikiwa yaani hata ukiambiwa imeua giabox utapambana hata kwa kukopa ilimradi itoke gereji.
 
Gari sio lazima kulitumia kila siku. Uchumi ukiwa vibaya park, tumia usafiri uliokuwa unatumia kabla ya kulinunua.

Ni kama ilivyo simu tu, kwan kila wakati huwa inakuwa na vocha/ bandle?

Utasema mtu asinunue iphone pro max, bora anunue tecno change aweke vocha.

Maisha ni kuchagua.
Nilijiwekea target. Matumizi kwa mwezi yasizidi full tank mbili. Yakikata Kabla yawezi kuisha naipaki napanda zangu daladala.
 
Sio kwamba 'gari' ni necessity good kama 'simu' tu ?

Yaani kumiliki inaweza isiwe lazima ila ina faida?
Gari ni chombo cha msingi na kila familia ilipaswa imiliki kwa maana ya kuleta wepesi wa usafiri..ila kutokana na changamoto za kiuchumi na namna ya kulihudumia tunajikuta sio wote wanaweza.

Narudia, gari ni chombo cha kawaida kwa kila mtu..putting aside aina ..fashion etc.
 
Magari show off yaani kwa wastani mtu mwenye CC 2000 kama anakwenda na hilo gari kwenye mihangaiko yake ya siku daily uhakika ni kila mwezi lazima Laki 3 hadi nne ikatike kama anaishi nje ya mji hasa kwa hapa Dar. Gari siyo necessity kama wengi wanavyodai humu.

Kama pato lako ni chini ya angalau 1.5 kwa mwezi nashauri mtu asinunue gari...fedha za kuhudumia familia zote zitaenda kwenye gari...matokeo yake maendeleo binafsi yatachelewa.
Tatizo mnaparamia majukumu kabla ya muda
 
Gari aina ya IST ukiwasha AC ikiwa kwenye mwendo hakuna shida ila ukisimama inaanza kuvibrate nin shida[emoji1787][emoji1787] Mshana Jr eti mkuu msaada
 
Back
Top Bottom