Wakati wa kumiliki gari ulikuwa bado.ni kweli lakini ukishakuwa na gari utaelewa sio lazima kila siku ulitumie...!! kwa dar hizi foleni kiukweli mimi gari binafsi kuna muda naona kama kikwazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa kumiliki gari ulikuwa bado.ni kweli lakini ukishakuwa na gari utaelewa sio lazima kila siku ulitumie...!! kwa dar hizi foleni kiukweli mimi gari binafsi kuna muda naona kama kikwazo.
😀 😀 😀ukimiliki utaelewa ninachosema na uwe unaishi dar.Wakati wa kumiliki gari ulikua bado.
Juzi tu hapo nimetoka kupururiwa 1,500,000.00 ubaya chuma ikiwa gereji unachanganyikiwa yaani hata ukiambiwa imeua giabox utapambana hata kwa kukopa ilimradi itoke gereji.Ukweli kabisa hayo madude muda mwingine yanateteresha uchumi wa watu, hususani wale wenye kipato cha kuunga unga
Nilijiwekea target. Matumizi kwa mwezi yasizidi full tank mbili. Yakikata Kabla yawezi kuisha naipaki napanda zangu daladala.Gari sio lazima kulitumia kila siku. Uchumi ukiwa vibaya park, tumia usafiri uliokuwa unatumia kabla ya kulinunua.
Ni kama ilivyo simu tu, kwan kila wakati huwa inakuwa na vocha/ bandle?
Utasema mtu asinunue iphone pro max, bora anunue tecno change aweke vocha.
Maisha ni kuchagua.
Tafuta pesa hutawazaNilijiwekea target. Matumizi kwa mwezi yasizidi full tank mbili. Yakikata Kabla yawezi kuisha naipaki napanda zangu daladala.
Gari ni chombo cha msingi na kila familia ilipaswa imiliki kwa maana ya kuleta wepesi wa usafiri..ila kutokana na changamoto za kiuchumi na namna ya kulihudumia tunajikuta sio wote wanaweza.Sio kwamba 'gari' ni necessity good kama 'simu' tu ?
Yaani kumiliki inaweza isiwe lazima ila ina faida?
Tatizo mnaparamia majukumu kabla ya mudaMagari show off yaani kwa wastani mtu mwenye CC 2000 kama anakwenda na hilo gari kwenye mihangaiko yake ya siku daily uhakika ni kila mwezi lazima Laki 3 hadi nne ikatike kama anaishi nje ya mji hasa kwa hapa Dar. Gari siyo necessity kama wengi wanavyodai humu.
Kama pato lako ni chini ya angalau 1.5 kwa mwezi nashauri mtu asinunue gari...fedha za kuhudumia familia zote zitaenda kwenye gari...matokeo yake maendeleo binafsi yatachelewa.
Unazoa abiria pale stend wabuku Mbili MbiliBora ununue ka IST tumafuta hta twa efkumi go and return
Hivi kusimama mahali alafu Gari binafsi upakie abiria sio kosa???Unazoa abiria pale stend wabuku Mbili Mbili
Abiria wenyewe ndo akina sisi [emoji16]