Kama una gari na huwezi kununua mafuta na kuwasha AC continuously umevamia pori

Kama una gari na huwezi kununua mafuta na kuwasha AC continuously umevamia pori

Kwani lazima ukiwa na kipando uwe nacho kila siku road? Lakini pia unaongeza juhudi ya kutafuta pesa ukiwa na kipando. Ukijumlisha were na to and fro kazini kama vinawezekana wewe tumia tu.
 
Magari yanafilisi Basi tu, mi natamani kuuza nijenge vyumba vya wapangaji Basi, na nimetembea kwa majamaa Maisha yao sio mazuri kisa magari kujaza mifuta n.k kuonekana kwa watu, hata maofisini watu kulalamika Sina Ela mwee, nilichogundua magari show off tu.
Magari show off yaani kwa wastani mtu mwenye CC 2000 kama anakwenda na hilo gari kwenye mihangaiko yake ya siku daily uhakika ni kila mwezi lazima Laki 3 hadi nne ikatike kama anaishi nje ya mji hasa kwa hapa Dar. Gari siyo necessity kama wengi wanavyodai humu.

Kama pato lako ni chini ya angalau 1.5 kwa mwezi nashauri mtu asinunue gari...fedha za kuhudumia familia zote zitaenda kwenye gari...matokeo yake maendeleo binafsi yatachelewa.
 
Hapana watu vipato ni Chini ya hapo lakini maisha yanasongaa na tunamiguu yetu ya Cc za kinyamaa...[emoji28][emoji28][emoji28] Vamisa brevis lakini kuendesha kwa manatiii mzee
 
Hapana watu vipato ni Chini ya hapo lakini maisha yanasongaa na tunamiguu yetu ya Cc za kinyamaa...
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
Vamisa brevis lakini kuendesha kwa manatiii mzee
Muhimu families zisiteseke. Zipate haki zao. Sio pesa mtu zinaishia kuhudumia chuma ili watu waseme 'ana gari' akati uwe
Kwani lazima ukiwa na kipando uwe nacho kila siku road? Lakini pia unaongeza juhudi ya kutafuta pesa ukiwa na kipando. Ukijumlisha were na to and fro kazini kama vinawezekana wewe tumia tu.
Nakubaliana nawę kwenye eneo la Kipando kukuongezea nguvu ya kuzisaka zaidi kwa sababu kinameza sana pesa...ila kwa wengine ujanja wa kuzisaka zaidi mdogo Kipato kipo vilevile ila kang'ang'ania Escudo lake namba A linakula Kiwese balaa na service inarukwa huku familią ikikosa mahitaji muhimu kisa baba ananunua Petroli apande gari peke yake kwenda kazini Posta Mpya kutoka Mbagala Mbande 😀
 
Kama wewe ni mkulima,mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari...kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri.

Nini ufanye:
- Nunua bodaboda au Bajaj unaweza imudu

- Tumia usafiri wa umma kv mwendo kasi au daladala au taxi.

Ushauri:
Usiitese Familia yako kwa kuhudumia chuma ambalo huna uwezo wa kulihudumia...aka jini.

Matusi yanaruhusiwa, ila ukipigwa bani sihusiki.
Hahaahah,....!! Kuna aina ya maisha gari ni lazima ata kama ni baby walker au utaeka mafuta ya afutano
 
Hahaahah,....!! Kuna aina ya maisha gari ni lazima ata kama ni baby walker au utaeka mafuta ya afutano
Nakubaliana nawe mjumbe. Ila kama shughuli zako sio za mizunguko na kiła siku wewe ni wa Mwenge kwenye duka lako dogo la mitumba Tegeta Nyumbani, Kipato chako cha faida ya mitumba ni Laki 5 kwa mwezi na una watoto Wawili na mke; Passo ya nini sasa!!

Si kujiletea umaskini tu na kusababisha Biashara ichelewe kukua. Daka daladala la Morocco-Bunju fika kazini pambana mtaji ukue uwe bilionea nunua Fortuner new model safi. Tatizo kuwahia matumizi makubwa ambayo hujafikia uwezo wa kuyamudu.
 
Back
Top Bottom