Magari yanafilisi Basi tu, mi natamani kuuza nijenge vyumba vya wapangaji Basi, na nimetembea kwa majamaa Maisha yao sio mazuri kisa magari kujaza mifuta n.k kuonekana kwa watu, hata maofisini watu kulalamika Sina Ela mwee, nilichogundua magari show off tu.Kama wewe ni mkulima,mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari...kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri.
Nini ufanye:
- Nunua bodaboda au Bajaj unaweza imudu
- Tumia usafiri wa umma kv mwendo kasi au daladala au taxi.
Ushauri:
Usiitese Familia yako kwa kuhudumia chuma ambalo huna uwezo wa kulihudumia...aka jini.
Matusi yanaruhusiwa, ila ukipigwa bani sihusiki.
Sio kwamba 'gari' ni necessity good kama 'simu' tu ?Magari yanafilisi Basi tu, mi natamani kuuza nijenge vyumba vya wapangaji Basi, na nimetembea kwa majamaa Maisha yao sio mazuri kisa magari kujaza mifuta n.k kuonekana kwa watu, hata maofisini watu kulalamika Sina Ela mwee, nilichogundua magari show off tu.
Kumiliki ndio maendeleo yenyewe.Sio kwamba 'gari' ni necessity good kama 'simu' tu ?
Yaani kumiliki inaweza isiwe lazima ila ina faida ?
Dp worldKama wewe ni mkulima,mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari...kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri.
Nini ufanye:
- Nunua bodaboda au Bajaj unaweza imudu
- Tumia usafiri wa umma kv mwendo kasi au daladala au taxi.
Ushauri:
Usiitese Familia yako kwa kuhudumia chuma ambalo huna uwezo wa kulihudumia...aka jini.
Matusi yanaruhusiwa, ila ukipigwa bani sihusiki.
Mbona kawaida tu magari, we umepangilia Mambo yako, nije kwako kutembea na we uje kwangu uone ambavyo sijapangilia Mambo yangu, msome mleta Uzi kwenye ushauri wake kwa chini, familia zinateseka kuendekeza chuma ndio ukweli wa Mambo, wengine hawasaidii ndugu zao kuendekeza jini.Now days kumiliki gari sio tena anasa bali ni necessary kwa ustawi wa jamii...... Pangilia tu mambo yako mbona haina shida
Na barabarani hata kutembeza gari spidi 60 mtu anaogopa sababu kiwese kitaisha fasta. Na hivi nyongeza ya mshahara ndo wasiwasi mambo yatazidi kuwa tightTatazo wengi wanamiliki magar kimehemko na sio kama uchumi unaruhusu....Na hapo kaanza na gar mbovu
Nakubaliana nawe. Ila ukweli ni kwamba baadhi ya watu wamelazimisha kumiliki gari, ilhali anajijua kabisa uwezo wa kulihudumia hana. Tena unakuta kanunua jini CC 2500 2000 nakadhalika...Matokeo yake familia zinateseka.Now days kumiliki gari sio tena anasa bali ni necessary kwa ustawi wa jamii...... Pangilia tu mambo yako mbona haina shida
Kama wewe ni mkulima,mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari...kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri.
Nini ufanye:
- Nunua bodaboda au Bajaj unaweza imudu
- Tumia usafiri wa umma kv mwendo kasi au daladala au taxi.
Ushauri:
Usiitese Familia yako kwa kuhudumia chuma ambalo huna uwezo wa kulihudumia...aka jini.
Matusi yanaruhusiwa, ila ukipigwa bani sihusiki.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kumiliki gari sio kulitumiaa kilsa sikuuu...!!Nakubaliana nawe. Ila ukweli ni kwamba baadhi ya watu wamelazimisha kumiliki gari, ilhali anajijua kabisa uwezo wa kulihudumia hana. Tena unakuta kanunua jini CC 2500 2000 nakadhalika...Matokeo yake familia zinateseka.
We mtu mshahara na posho havizidi Laki 8 na hana kipato mbadala kwa mwezi anamiliki Brevis huu ni ujinga tu, matokeo yake hapo kwake watoto, mke ndugu wazazi na yeye mwenyewe wanaishi maisha ya tabu.
Baadhi ya watu wanapenda kuishi kwa kuwafurahisha wengine, huku hao wengine wakiwa hawana mpango nawe "they don't care" ndo huu ujinga nawaza baadhi ya raia ziache.