min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hakuna uchawi wala kitu kinaitwa laana zaidi ya swaga za kiimani tu na kutishana , kwa sababu imani ni kuamini kitu usichokuwa na uhakika nacho upo sahihi .Nikuthibitishieje kitu ambacho huamini?
Kama wewe hauamini ni sawa, mimi nazungumza na wanaoamini, na kwa case ya mleta mada huo ni uchawi ni matokeo ya kulogwa.