Hakuna uchawi wala kitu kinaitwa laana zaidi ya swaga za kiimani tu na kutishana , kwa sababu imani ni kuamini kitu usichokuwa na uhakika nacho upo sahihi .

Na wewe mkuu usinipoteze, mimi nasemaje ndugu zangu mtakaokuwa na maswahibu aliyoainisha mleta mada tambueni kuwa mmelogwa na sio mmelaaniwa, hivyo jitibieni...