Kama una kipato kizuri tafuta mwanamke ambaye utaishi naye mfumo wa kifalme

Kama una kipato kizuri tafuta mwanamke ambaye utaishi naye mfumo wa kifalme

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kama una pesa haifai uteseke na mapenzi fanya hivi tafuta MWanamke mdogo mdogo mwembamba mrefu ambaye kaishia elimu ya msingi tu au secondary asiye na kazi Tena wa kutokea kijijini ila hakikisha NI mrembo wa asili.

Ukimaliza taratibu za kwao ukamtolea barua usikimbilie kufanya harusi we kaa naye tu mtoe huko shamba njoo naye mjini. NOW mkiwa kwenye mahusiano style ya kuishi naye iwe hivi wewe utakuwa mfalme au boss yeye atakuwa kitengo Cha ubodyguard kila sehemu utakayokuwa unakwenda mchukue tena Kama una gari mfundishe kuendesha ukitaka kwenda bar ye ndo dereva anakuendesha

Unafika unampa dokezo la kiasi ambacho unataka kutumia kunywa na yeye analifanyia marekebisho kwa kukushauri kwamba kunywa bia kadhaa pekee unakubali kumbuka pesa yako ya kutumia ktk entertainment na chakula unamuachia yeye aishike.

Hapo unakuwa umemfanya awe mkuu wa kitengo Cha uhasibu katika penzi lenu, hakika MWanamke huyo hawezi kuja kuchepuka na lazima mfanikiwe..kingine ikiwa wewe ndo mfalme usimuachie maamuzi ya Nini Cha kupika afanye yeye wewe nunua nyama mwambie tengeneza roast pika na ugali na mchicha Basi inatosha yaani unampa maagizo as ni house girl wako kumbe NI mkeo.

Ikibidi unakuwa na simu mbili moja ya ofisini na kuperuzi jamiiforum nyingine ya marafiki wasio na faida Sana hio unampa akushikie mtu akipiga apokee then aseme mwenye simu Yuko busy ila Kama Kuna ujumbe unaweza kuacha na hakika nakwambia system ya kuishi na mkeo ya namna hii itakupunguzia mambo mengi na utakuwa salama na mtafanikiwa sana, kwanza pesa zitakuwa hazipotei halafu MWanamke atakuwa anakuheshimu mno halafu itakuwa unaonekana kwa nadra Sana mtaani.

Kwenye miradi yako unamtuma aisimamie na akienda hakuna kucheka anaenda Kama mtumishi na sio mpenzi then kazi yake NI kukupa mirejesho we umetulia zako TU sehemu hakuna mazoea mazoea na wabongo mazoea leta nao kwenye mitandao tu sio real life.

NB:1.mfumo huu NI applicable kwa watu wenye kushika pesa angalau kipato fulani halafu usiwe na mipango ya kuzaa naye halafu hakikisha unamvisha mikato ya kijanja yaani akishuka kwenye gari kuja kukufungulia milango linakufa jitu huko PC Kali ya maana unahakikisha anasuka dread za kwenda,jeans na t shirt katokelezea halafu mnafanya mambo yenu kimya kimya...

Jamani sio kwamba naota haya maisha au labda nimekuwa inspired by movies NI maisha yanayowezekana kbs kwa wale tunaopenda kuishi kifalme au kitajiri kumbe tuna hela TU za kawaida.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
kuna jamaa mmliki wa basi mkubwa hapa kanda ya ziwa ila mke wake anavo mtriti unaweza kusema kaajili mfanyakazi wa ndani.yani biashara zina kwenda vizuri na kila siku anashusha chuma
 
Wanaume tunawapa sana attention hawa viumbe mijadala kila siku kuhusu abiwao tu!.
Kila mtu atachagua akipendacho na tambua utakavyofanya hivyo kuna effects za yeye ku react!.
Inabidi tuje tufanye research Hapa JF Kwa msaada wa mods
Tujue nyuzi ngapi zinaanzishwa Na me kuhusu KE
Na Ni nyuzi ngapi zinaanzishwa Na KE kuhusu me
Kwa kuconsider idadi total ya KE Na me ili tujue ratio ya obsession...Yani jinsia ipi inaobsess Zaidi jinsia nyingine Na kuwapa attention Kwa kiwango kipi au Kwa ratio ipi.
Moderator Maxence Melo
 
Inabidi tuje tufanye research Hapa JF Kwa msaada wa mods
Tujue nyuzi ngapi zinaanzishwa Na me kuhusu KE
Na Ni nyuzi ngapi zinaanzishwa Na KE kuhusu me
Kwa kuconsider idadi total ya KE Na me ili tujue ratio ya obsession...Yani jinsia ipi inaobsess Zaidi jinsia nyingine Na kuwapa attention Kwa kiwango kipi au Kwa ratio ipi.
Moderator Maxence Melo
Kujua jinsia za baadhi ya akaunti humu utakuwa mtihani wengine wanajiita akina gilesi wakati ni akina Manumbu!
 
Wanaume tunawapa sana attention hawa viumbe mijadala kila siku kuhusu wao tu!.
Kila mtu atachagua akipendacho na tambua utakavyofanya hivyo kuna effects za yeye ku react!.
Mijadala lazima ihusu wao ndio maana ya mahusiano Kama jukwaa linavyosema, ni lazima iwe Kati ya mwanamke na mwanaume. Au unataka tuzungumzie mwanaume kwa mwanaume? Si uchoko huo sasa
 
Back
Top Bottom