Kama una kipato kizuri tafuta mwanamke ambaye utaishi naye mfumo wa kifalme

Kama una kipato kizuri tafuta mwanamke ambaye utaishi naye mfumo wa kifalme

Kwanza unatumia Infinix.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nashangaaga wanaume wanapata wapi muda wa kupika?? Serious?

Tatizo tunafanya majukum ya familia yanahamia kwa wanawake
Aise mimi kwa umri wangu siwezi pika kama naishi na mwanamke kama hataki aondoke nitapata atakaye nipikia
 
Back
Top Bottom