Kama una kipato kizuri tafuta mwanamke ambaye utaishi naye mfumo wa kifalme

Mijadala lazima ihusu wao ndio maana ya mahusiano Kama jukwaa linavyosema, ni lazima iwe Kati ya mwanamke na mwanaume. Au unataka tuzungumzie mwanaume kwa mwanaume? Si uchoko huo sasa
Nachozungumzia mimi ni kwamba imekuwa wimbo kila siku hayo uliyoleta yakwako sijaandika sentensi ya namna hiyo!.
 
Uyo Ni MKE wangu kabisa mama G[emoji4]
Oy DeepPond unazingua jamaa, wewe si ulisema mkeo ni mcha Mungu Hana mambo mengi. Akitoka home ni kanisani Tena anapelekwa na vijana wako. Akitoka kanisani ni home. Na Sasa ametoka kujifungua hivi karibuni na mnalea kichanga.


Sasa hiyo kifalime as mtoa mada alivosema unaishi nae vipi au unazungumzia mchepuko wako mama J
 
Usisahau kumwekeaaa na kuku wakufugaa hapo nyumban akiwaa mama wa nyumbanii.....
 
Huo mfumo aliuweza Gadafi tu😅 mwanamke wa kibongo ukishaingia kwenye mapenzi nae automatically anataka kuwa baby sitted!

Atataka apewe kila kitu na yeye awekewe msaidizi wa kazi zake awe yupo free tu kazi yake kukupa K tu😅
 
Msome vizur mtoa mada,
Kifalme kaongelea kuishi kwa kufuata miongozo yangu, na sio kusaidiana maisha[emoji4]
 
Huo mfumo aliuweza Gadafi tu[emoji28] mwanamke wa kibongo ukishaingia kwenye mapenzi nae automatically anataka kuwa baby sitted!

Atataka apewe kila kitu na yeye awekewe msaidizi wa kazi zake awe yupo free tu kazi yake kukupa K tu[emoji28]
Kinachofanyika NI una kuwa unamshughulisha kwenye shughuli zako(zenu)..una mkeep busy na hata ikiwezekana unakuwa unamlipa let's say 3000 kila siku kwenye account yake.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama una pesa haifai uteseke na mapenzi fanya hivi tafuta MWanamke mdogo mdogo mwembamba mrefu ambaye kaishia elimu ya msingi tu au secondary asiye na kazi Tena wa kutokea kijijini ila hakikisha NI mrembo wa asili.
Akishafika mjini anakuwa mjanja kuliko mwenye PhD.

Kwani hawa wanaotusumbua unadhani hata kusoma wanajua vizuri basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…