LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa?
Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola elfu moja hapana ni ubabaishaji...
Baada ya watoto kuhitimu Chuo na kuja mtaani kupambana na uhalisia ndio utajua kwanini uliuziwa elimu Kwa Dola elfu moja Kwa mwaka badala ya Dola elfu thelathini Kwa mwaka.