Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee.

Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu.

Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
 
Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakua kijana mzeee.

Ukiwa n'a miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa n'a nguvu.

Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoez Kua na tabia ya ku,check sukari, pressure n.k.
Sasa Doctor,Kila baada ya muda gani tufanye check up ya sukari na pressure?
 
Back
Top Bottom