Kijana LOGICS Senior Member Joined Dec 16, 2023 Posts 140 Reaction score 536 Dec 26, 2023 #1 Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 26, 2023 #2 Sawa.
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 Dec 26, 2023 #3 Maisha yanaenda mwendo mpera mpera sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 26, 2023 #4 Duh aiseee
NDONDELEJE New Member Joined Dec 26, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Dec 26, 2023 #5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,084 Reaction score 15,998 Dec 26, 2023 #6 Kijana LOGICS said: Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakua kijana mzeee. Ukiwa n'a miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa n'a nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoez Kua na tabia ya ku,check sukari, pressure n.k. Click to expand... Sasa Doctor,Kila baada ya muda gani tufanye check up ya sukari na pressure?
Kijana LOGICS said: Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakua kijana mzeee. Ukiwa n'a miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa n'a nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoez Kua na tabia ya ku,check sukari, pressure n.k. Click to expand... Sasa Doctor,Kila baada ya muda gani tufanye check up ya sukari na pressure?
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Dec 26, 2023 #7 The pressure is real