Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Kuoa hainaga nusu boss. Unaoa unapokuwa tayari na unapopata mtu sahihi.Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Wanakupa mawazo..?Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
daaah mkuu umenigusaKuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
wanakupa mawazo..Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Kabisa mkuuThis is a sad reality. Vijana tupambane angali tupo na nguvu.
Basi ulivyooa na kununua kakiwanja unaona maisha umeyapatia!Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Unaweza kuwa na kiwanja ila kipo bondeni halafu cha 15 × 10.Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Tuheshimiane tafadhali! Kwanini unanisema humu?😁Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔
Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️
Nusu ya kwanza umeitumiaje?
Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila kibaya zaidi ni kuwa hii nusu hasa kati ya 20-26 unakuwa umeitumia kupoteza muda na watu wasio sahihi.
Nusu iliyobaki ( 30+) usikubali tena kupoteza muda maana hii nusu ni ya lala salama na fupi pia imejaa majukumu mengi sana.
Mwanasayansi saul kalivubha
#fikia ndoto zako
Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....