Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina 40 + nakaa kwa mama na baba 😟😟
Uko sahihi!
Zile tabia utakazobeba kutoka floor ya 2 kuingia nazo floor ya 3, ndio yatakuwa maisha yako...
Kabla huja-cross over, jitathmini.
IBinafsi naona nusu iliyobaki ndio rahis na nzuri kwangu
Utoto utumwa
Ujana maswali
Uzee ugonjwa.
Nina 40 + nakaa kwa mama na baba 😟😟
Nusu ya pili pia ina chance kubwa ya kufanikiwa mkuuKwa mwanaume hakunaga formula, unaweza ukapambana mpaka 40 na bado ngoma ikawa bilabila, ukafika 45 na mambo yakafunguka ukawa na kila kitu.
😀 😀 Kwa hapa TZ hawa vijana wa miaka 30's ndio kamati ya kataa ndoa .Wnajifanya wanajitambua sana ila wengi ni mzigo kwa taifa .
Kabisa mkuu, kwa mwanaume hapo ndo unaanza kushika ela, unaanza kueleweka hata kwa muonekano wa mwili wako.Nusu ya pili pia ina chance kubwa ya kufanikiwa mkuu
Wakati huwo Bora azae TU kuepusha jam.,vilevile kama mtu ana muda wa kufanya jambo la muhimu katika maisha yake,Bora alifanye,usisubiri umri Fulani ndiyo ulifanye maana mambo yanabadilika sana.Hasa kwa mwanamke ambaye bado hajaolewa kwisha habari yake
Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Hao hujuta baadae😀 😀 Kwa hapa TZ hawa vijana wa miaka 30's ndio kamati ya kataa ndoa .Wnajifanya wanajitambua sana ila wengi ni mzigo kwa taifa .
Sasa ukichelewa kuoa watoto utazaa ukiwa kibabu😂Kuoa hainaga nusu boss. Unaoa unapokuwa tayari na unapopata mtu sahihi.
Shida sana na wanaujuaji mwingiiii hawawazi kesho yao😀 😀 Kwa hapa TZ hawa vijana wa miaka 30's ndio kamati ya kataa ndoa .Wnajifanya wanajitambua sana ila wengi ni mzigo kwa taifa .
Nisamehe bure kaka baadae nitakununulia bia 🤣🤣🤣Tuheshimiane tafadhali! Kwanini unanisema humu?😁
Nlitaka kushangaa hakuna mpuuzi wa kuweka comment ya namna hii 🙄🚮 Naona upoHasa kwa mwanamke ambaye bado hajaolewa kwisha habari yake
Tusipeane
Sasa ukute anabishana kuhusu yanga na simba kumbe anakaa stoo🤣🤣🤣
Unaweza kuwa na kiwanja ila kipo bondeni halafu cha 15 × 10.
Hapana kaka ni moja ya vitu muhim sana kwa mtu ambaye anataka kujenga familiaBasi ulivyooa na kununua kakiwanja unaona maisha umeyapatia!
Kataa Ndoa hatuna noma na hiyo miaka kiongoziKuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....