Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

Kuna wengine tuko nao above 30 lakini ndo kama kunekucha hawajali hawataki kuoa a.k.a wazee wa kataa ndoa 🤣🤣🤣Yaaan huwaambii kitu ujuaji mwingiii hata ka kiwanja hana.Wakisha kua na tv , sofa la mtu mmoja , kitanda cha chuma na sabufa wamemaliza kazi kweli kweli .....
Kataa Ndoa hatuna noma na hiyo miaka kiongozi
 
Back
Top Bottom