Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔
Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️
Nusu ya kwanza umeitumiaje?
Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila kibaya zaidi ni kuwa hii nusu hasa kati ya 20-26 unakuwa umeitumia kupoteza muda na watu wasio sahihi.
Nusu iliyobaki (30+) usikubali tena kupoteza muda maana hii nusu ni ya lala salama na fupi pia imejaa majukumu mengi sana.
Mwanasayansi saul kalivubha
#fikia ndoto zako