Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Nimempa za uso mpaka sasa hajarudi tena. Anajifanya ujanja mwingi na wakati anaonekana kabisa kuwa mbele kiza. πŸ˜‚πŸ€£
Mtu kama hujafika sehemu utaona kama miujiza baadhi ya mambo. Huyo jomba ni wale wanaosoma sheria za nchi hiyo mitandaoni na kudhani kila kitu kinaenda kama kilivyoandikwa. Mimi siipendi Namibia kwasababu mara kadhaa nimeshuhudia matukio yao ya kinoko mno kutoka Immigration department.
 
Katika harakati zako umewahi fika hapo Carlton Centre?
Kama IPO cape town hapana sijawahi kufika maana nilikuwa naishi Muizenberg na kama nilivyosema day two niliingia kazini hadi naondoka nilipata mda mdogo sana kutembea
J2 nilienda kanisani Salt River na baada ya hapo narejea home najiandaa na kazi j3 hadi jmos sikuwa na mda au nafasi ya kutembea (ilinisaidia ku maintain kazi na uaminifu kwa waajiri wangu hadi kufikia kuwa mfanyakazi Bora wa mwaka) so sikuwa na mda wa kutoka kama kutoka ningeenda home affairs na kidogo nilienda cape town university kupata wakili makaratasi yaliposumbua
 
Johannesburg. Poa mkuu
 
Namba 6… πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii ya mwisho sijaelewa

Sasa mbona ndo niko kwenye lori humu nmezamia kuelekea south tunakaribua border ya Zambia, af ndo mnaleta maelekezo πŸ™„πŸ™„
We nenda tu cha msingi unayo makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…