Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Ndoa nijambo muhim sana kwa Mwanaume na Mwanamke mimi nimeshudia Wanaume mabachela wakiteseka na magonjwa bila wasaidizi hakika nimateso yasiyo namfano wanabakia kulaumu watu ooh mimi ndugu zangu hawanijali yaani anakua mbinafsi anajiwaza yeye haoni alikosea kuishi bila mke ambaye angemletea watoto hao wangekua ndugu muhim sana
sikatai nje yandoa unaweza pata watoto ila tatizo ni je utapa familia?
Fikili kabla yakutenda unayoyawaza nimadogo yaliyojaa ubinafsi nachoyo
 
Hoja yako dhaifu, unatushauri tuoe ili tukiugua tupate mtu wa kutuuguza!!!??? Kama ndo faida ya ndoa hiyo basi ndoa ni upuuzi.
Ukiwa na pesa huwezi kukosa huyo mtu wa kukuuguza. Ukiwa huna pesa hata huyo mwanamke wa kukuuguza atakukimbia.
 
Ndoa haina faida. Sana sana Ina hasara tu.
Sijakuelewa unaogopa kipi haswa kwenye ndoa.

1.Kuchapiwa mke ?

2.Mkeo kutumia Mali zako? Sasa na Baadae , ukifa.

3. Uchumi wako mdogo kuhudumia kama wajibu na haki ya wategemezi ?

4. Magonjwa ya ngono ?...

5. Mkiachana mtagawana Mali na huyo mke ?

6. Kuishi pamoja na mwanamke kwa mkataba huru na wa hiari ?

7. Kutambulia na jamii , familia na mamlaka kuwa ww ni mume halali wa huyo mwanamke?

Em funguka Kaka maana mpaka Sasa nna hints tatu
:Ww ni mtu mzima wa 40+ (nahisi)
: Una stress na shinikizo juu ya ndoa kutoka kwa jamii na familia.
 
Je Baba ako anapitia hayo matatizo ya ndoa unayotuhadithia hapa ? Njoo na mifano hai kutoka kwenye familia Yako kwanza. Otherwise ndoa ni taasisi huru kwa wenye akili timamu.
Wazazi wangu wameoana miaka hiyo kabla taasisi ya ndoa haijavamiwa.
Ndoa tunazopinga ni hizi za 50/50 zilizoratibiwa Beijing.
 
Nimecheka sana baada ya kuona uzi huu.Hauko kwenye ndoa halafu unasema walioko kwenye ndoa hawana furaha!!That is assumption.

Niko kwenye Ndoa,mimi na familia yangu tuna furaha.Nimeridhika na mke wangu,natafuta pesa kwa ajili ya familia yangu,mke wangu nampanulia biashara mbalimbali huku na mimi nikizidi kupanua wigo wa pesa.Tukiamua kutanua na kuinjoi maisha tunainjoi kama familia na sio kibinafsi.Mtangulize Mungu kwenye Ndoa yako,penda kuonyesha upendo kwa vitendo na sio kutaka wewe pekee upokee huo upendo.Mnaotaka kuingia kwenye ndoa,wekeza nguvu na akili kufanya chaguo sahihi ili usije kujilaumu baadaye.Ambao hamna mpango wa kuingia kwenye ndoa,huo Ni mtazamo wenu kwasababu binadamu hatufanani na kila mtu anaishi maisha yake.Nainjoi maisha ya Ndoa...kabla sijaoa nilikuwa hatua moja ya maendeleo lakini baada ya kuoa nimepiga hatua mara kumi zaidi katika nyanya ya personal income na furaha binafsi.MAISHA HAYAFANANI!KILA MMOJA AISHI MAISHA YAKE AISEEE TUSILAZIMISHANE KUCHUKIA NDOA WAKATI WENGINE NDOA ZIMETUFANYA TUPIGE HATUA.
 

Ahsante mkuu
Umeandika point kubwa sana sana
Mala zote mimi kelphin nna amini katika upili na sio ukwanza wa jambo!
Ukiona mtu anaongea au kutenda kitendo ambacho ni cha kustaajabisha usikimbilie ku staajabu kama wengine
Bali uwe wa pili nyuma ya tendo
Jiulize KWANINI ASEME/ATENDE HILI JAMBO!! Hapo ndio mwanzo

Ndoa zinapungua kwasababu ya kile tunachokiona sisi tulio nje sio kuambiwa au hadithi za kale
Sasa kama wake za watu ndio hawa wanaotusumbua mtaani
Sasa tuowe ili?
Japo sio wote ila inatufikilisha sana
All in all ukiwaza namna ya ku mcontroll huyo mwanamke na akusikilize ndio shida ilipo pia
 

.
 
Zama za ndoa zimeisha. Hata iweje mdoa Zama zake zimeisha. Ukiikiuka kanuni hii unaumia.

Kifo cha ndoa kilianzia nchi za wenzetu zilizoendelea, hivi Sasa hawaoani tena. Na wakioana ni kwa mikataba ya miezi tu
 
Kama unaipenda amani ya Moyo wako usiruhusu Demokrasia katika maisha yako ya ndoa, mfumo Dume ndiyo njia pekee inayoweza kumlinda Mwanaume dhidi ya hiki kizazi cha hawa watoto wakike wanaodanganywa kuhusu habari za haki sawa.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wazazi wangu wameoana miaka hiyo kabla taasisi ya ndoa haijavamiwa.
Ndoa tunazopinga ni hizi za 50/50 zilizoratibiwa Beijing.
Ndoa ya 50/50 ipo wapi? Au hao mama watoto wako nd wanaotaka 50/50 ? af sio lazima ufuate hizo kanuni za 50/50 otherwise ww ni muhibiri wa hio kanuni. Wazazi wako hawana mabinti ?(yaani ww hauna Dada ? ) Kama unao wameolewa au unatutukuku wahuni tuwazalishe afu warudi kwenu kwa Baba ako na Mama ako, ili tuwahudumie wakiwa kwenu ?
 
Zama za ndoa zimeisha. Hata iweje mdoa Zama zake zimeisha. Ukiikiuka kanuni hii unaumia.

Kifo cha ndoa kilianzia nchi za wenzetu zilizoendelea, hivi Sasa hawaoani tena. Na wakioana ni kwa mikataba ya miezi tu
Sasa kwann na ww usioe kwa hio mikataba ?
 
Sasa kwann na ww usioe kwa hio mikataba ?
Ulaya hakuna migegedo ya bure kama huku Afrika. Ili ule bure ni lazima uwe kwenye ndoa.

Vinginevyo itakubidi uende kwa wafanyabiashara ya ngono ambao wanalipa Kodi kabisaa. Hivyo unapata mgegedo kwa gharama kubwa.

Huku Afrika unaoa ili ugundue nn wakati akina Mwajuma Mcharuko wanagawa bure??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…