exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
Ndoa nijambo muhim sana kwa Mwanaume na Mwanamke mimi nimeshudia Wanaume mabachela wakiteseka na magonjwa bila wasaidizi hakika nimateso yasiyo namfano wanabakia kulaumu watu ooh mimi ndugu zangu hawanijali yaani anakua mbinafsi anajiwaza yeye haoni alikosea kuishi bila mke ambaye angemletea watoto hao wangekua ndugu muhim sana
sikatai nje yandoa unaweza pata watoto ila tatizo ni je utapa familia?
Fikili kabla yakutenda unayoyawaza nimadogo yaliyojaa ubinafsi nachoyo
sikatai nje yandoa unaweza pata watoto ila tatizo ni je utapa familia?
Fikili kabla yakutenda unayoyawaza nimadogo yaliyojaa ubinafsi nachoyo