Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Simpigii promo mtu yeyote kuoa ama kutokuoa. Mwisho wa siku si mimi niliemuumba au kumpa pesa za kuendesha maisha yake. Am just thinking out loud hapa;

Katika ndoa kumi ndani ya ukoo wetu, ni moja tu ndio iliovunjika kwa makosa ya wote wawili. Katika ndoa hizo tisa zilizobaki, pamoja na tofauti za hapa na pale nimeona baraka za Mungu zikiwemo namna watu wamefanikiwa kufanya miradi mikubwa, kumiliki mali kadhaa hata kama si nyingi, baraka za watoto wanaojielewa au wanaojitambua.

Sijawahi kuona vikao vya usuluhishi ama magomvi ndani ya ukoo namna ambavyo wanaume wanajielewa na kuna amani tele. Bila kusahau ushirikiano baina ya ndugu kwa kiasi chake huku kila mmoja akijitahidi kusimama katika majukumu yake.

So mimi nilichokiona kwenye ukoo kimeniconvince Ndoa is not as bad as its depicted here. Anyways kila mtu anayo choice anaweza fanya. Kama hutaki ndoa then dont maana haina msaada kwako. Kama unataka then go ahead maana ni maamuzi yako pia. Ifike mahali haya mabishano yaishe. Tuendelee na mambo mengine.
 
Punguza chuki, sisi kutooa haikupunguzii kitu. Kama ndoa ina maana sana kwako komaa nayo ila usituzuie kuwafumbua macho vijana wanaokimbilia ndoa mwisho wa siku wanajikuta wameharibu ndoto zao zote na maisha kwa ujumla. Ndoa ni mtego.
#KATAANDOA
 
dada pao wapo kibao uanzia 2000 5000 10000 yann kuoa?

kwa watu wenye akili timamu ndoa nio kila ni sehemu ya maisha yao
 
Mwenyewe umekaa kitako ukafikiria ukaona una madini uyalete humu sio?.
Baba ako na nduguze wajinga walio oa sio?
Yani hayo ndo mawazo yanayo kaa kwenye watu walio kula chumvi kiasi sio?
Nyie ndio wale wale wajinga wanao leta mada ya Mtoto wa kiume kutakiwa na lecture mpaka anashikwa tako so anataka ushauri kwamba yupo DILEMMA.
Kichwa chako kimejaa mavi ambao usiku unakufanya usilale kabisa ukaleta ujinga JF.
Una shauri dada ako awe analiwa tu na wanaume awe jamvi la wageni sio?

Jitahidi kuficha ujinga kwenye kundi la werevu.
 
Nioe kutafuta nini? Watoto nnao na mbususu nazichakata nitakavyo, labda uniambie kuna kipi cha ziada kwenye hizo ndoa zenu zaidi ya stress.
#KATAANDOA
Siyo bure Shetani yumo nyuma ya hili jambo, unatumiwa kwa kujua au bila ya kujua,
Ndoa ni mpango wa Mungu aliye hai, katika familia tunajifunza jinsi ya kumtumikia na kumpenda Mungu, taifa lolote linaanzia ngazi ya familia, sasa unaposhawishi watu wakatae ndoa si bure kuna unayemtumikia wewe.
 
Umeandika vema, ndoa ni chaguo la mtu, Kila nmoja aamue kadiri aonavyo inafaa.
Mimi binafsi siwezi kuoa eti kisa namuona fulani anafurahia ndoa yake, kumbuka Haji Manara na wakeze walivyotuigizia hiyo furaha ya ndoa lkn mwisho wa siku maigizo yamewashinda na kila mmoja anamshukuru Mungu kumtoa jehanamu!
Dr. Mwaka na Queen wametuigizia sn pia ila mwisho wa siku tumeona kilichojiri so hata hiyo mifano ya ndugu zako haiwezi kuwa kishawishi tosha cha kukufanya uingie ndoani maana wengi wanatembea na maumivu na makovu ya ndoa moyoni japo kwa nje wanatabasamu!
#NDOANIUBATILI #KATAANDOA
 
Naona unatukana tu, point yako iko wapi!? Kama una stress za ndoa uzi huu uangalie tu, haukufai. Walengwa ni wanaofikiria kuoa si nyie mnaohangaika na ndoa zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…