Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Kuna muda utafika utakuja kuoa labda uwe shogaWake zenu wakija ghetto wanamwaga siri zenu zote, tunawajua in & out. Wengi wenu jogoo mmeuza kisutu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda utafika utakuja kuoa labda uwe shogaWake zenu wakija ghetto wanamwaga siri zenu zote, tunawajua in & out. Wengi wenu jogoo mmeuza kisutu.
Yes na weweUmeolewa?
Punguza chuki, sisi kutooa haikupunguzii kitu. Kama ndoa ina maana sana kwako komaa nayo ila usituzuie kuwafumbua macho vijana wanaokimbilia ndoa mwisho wa siku wanajikuta wameharibu ndoto zao zote na maisha kwa ujumla. Ndoa ni mtego.Admin unganisheni hizi threads z LGBTQ
they are paid to do this
Ndoa ni hiyari, haihitaji campaign for or against
Vijana wetu wamefunguliwa hizi funded safe spaces wanakua groomed huko halafu wanakuja kuendeleza ya Lucifer
JF is bigger than hawa groomed elomenopiqyu
WeeeeNa tutamla mkeo.
Ndio Nini hiki
Na siku zinaweza zikapotea zote na ndoa ikapoteaKama ukioa: hizo pesa unazozihurumia hautakuwa na maamuzi nazo tena. Kuna mtu atazitumia atakavyo na mkizinguana anaondoka nazo zote!
dada pao wapo kibao uanzia 2000 5000 10000 yann kuoa?Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa!
Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-
1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)
2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.
3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)
Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa.
Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)
Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako?
Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?
#KATAANDOA
Mwenyewe umekaa kitako ukafikiria ukaona una madini uyalete humu sio?.Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa!
Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-
1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)
2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.
3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)
Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa.
Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)
Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako?
Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?
#KATAANDOA
Siyo bure Shetani yumo nyuma ya hili jambo, unatumiwa kwa kujua au bila ya kujua,Nioe kutafuta nini? Watoto nnao na mbususu nazichakata nitakavyo, labda uniambie kuna kipi cha ziada kwenye hizo ndoa zenu zaidi ya stress.
#KATAANDOA
Ujambo Kipenz changu wa pekee next months nakuja huko nipokeeNdio Nini hiki
Umeandika vema, ndoa ni chaguo la mtu, Kila nmoja aamue kadiri aonavyo inafaa.Simpigii promo mtu yeyote kuoa ama kutokuoa. Mwisho wa siku si mimi niliemuumba au kumpa pesa za kuendesha maisha yake. Am just thinking out loud hapa;
Katika ndoa kumi ndani ya ukoo wetu, ni moja tu ndio iliovunjika kwa makosa ya wote wawili. Katika ndoa hizo tisa zilizobaki, pamoja na tofauti za hapa na pale nimeona baraka za Mungu zikiwemo namna watu wamefanikiwa kufanya miradi mikubwa, kumiliki mali kadhaa hata kama si nyingi, baraka za watoto wanaojielewa au wanaojitambua.
Sijawahi kuona vikao vya usuluhishi ama magomvi ndani ya ukoo namna ambavyo wanaume wanajielewa na kuna amani tele. Bila kusahau ushirikiano baina ya ndugu kwa kiasi chake huku kila mmoja akijitahidi kusimama katika majukumu yake.
So mimi nilichokiona kwenye ukoo kimeniconvince Ndoa is not as bad as its depicted here. Anyways kila mtu anayo choice anaweza fanya. Kama hutaki ndoa then dont maana haina msaada kwako. Kama unataka then go ahead maana ni maamuzi yako pia. Ifike mahali haya mabishano yaishe. Tuendelee na mambo mengine.
Naona unatukana tu, point yako iko wapi!? Kama una stress za ndoa uzi huu uangalie tu, haukufai. Walengwa ni wanaofikiria kuoa si nyie mnaohangaika na ndoa zenu.Mwenyewe umekaa kitako ukafikiria ukaona una madini uyalete humu sio?.
Baba ako na nduguze wajinga walio oa sio?
Yani hayo ndo mawazo yanayo kaa kwenye watu walio kula chumvi kiasi sio?
Nyie ndio wale wale wajinga wanao leta mada ya Mtoto wa kiume kutakiwa na lecture mpaka anashikwa tako so anataka ushauri kwamba yupo DILEMMA.
Kichwa chako kimejaa mavi ambao usiku unakufanya usilale kabisa ukaleta ujinga JF.
Una shauri dada ako awe analiwa tu na wanaume awe jamvi la wageni sio?
Jitahidi kuficha ujinga kwenye kundi la werevu.