Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
- Thread starter
- #61
Sawa nyie tulieni na hizo ndoa zenu za miaka mingi, hapa tunawashauri vijana wanaofikiria kuingia kwenye ndoa.Ushauri kutoka kwa FAILURE! Watu wapo ndani ya ndoa miaka mingi wamemtanguliza Mungu, Wanaishi kwa amani na upendo na wanazikabili changamoto mbalimbali vyema, Wewe leo unawausia vijana waendelee kuishi uzinzi ili wakifa waende motoni?? Shetani shindwa!
Alafu hiyo Amani na Upendo kwenye ndoa zenu hakuna, mnaishi kwa kuigiza ila ndani ni maumivu na majuto.
Tatizo lenu mnatamani sote tuoe tuhangaike kama nyie!