Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana namtumikia Mungu kwa ukamilifu kuliko nyie mliooa na kuolewa.Siyo bure Shetani yumo nyuma ya hili jambo, unatumiwa kwa kujua au bila ya kujua,
Ndoa ni mpango wa Mungu aliye hai, katika familia tunajifunza jinsi ya kumtumikia na kumpenda Mungu, taifa lolote linaanzia ngazi ya familia, sasa unaposhawishi watu wakatae ndoa si bure kuna unayemtumikia wewe.
Good na hyo ndo choice yako. Usioe kama hutaki. As for me sijaingia kwenye ndoa kisa nilichoona kwa ndugu zangu, nimeingia kwenye ndoa kwa sababu muda sahihi umefika na pia ni mapenzi ya Mungu yaliyoamua. So I cant judge your choice, have peace with mine. Tuache kufanya hizi convincing na maandamano ya kimtandao yasiyo na tija. Kila mtu anao uwezo wa kimaamuzi. Aamue atakaloona linafaa. Period!!Umeandika vema, ndoa ni chaguo la mtu, Kila nmoja aamue kadiri aonavyo inafaa.
Mimi binafsi siwezi kuoa eti kisa namuona fulani anafurahia ndoa yake, kumbuka Haji Manara na wakeze walivyotuigizia hiyo furaha ya ndoa lkn mwisho wa siku maigizo yamewashinda na kila mmoja anamshukuru Mungu kumtoa jehanamu!
Dr. Mwaka na Queen wametuigizia sn pia ila mwisho wa siku tumeona kilichojiri so hata hiyo mifano ya ndugu zako haiwezi kuwa kishawishi tosha cha kukufanya uingie ndoani maana wengi wanatembea na maumivu na makovu ya ndoa moyoni japo kwa nje wanatabasamu!
#NDOANIUBATILI #KATAANDOA
Kuoa tunaoa ila ndoa hatufungi , kataa ndoa ,ndoa ni utapeli.Kuna muda utafika utakuja kuoa labda uwe shoga
Hiko ulichokiandika wewe hapo awali ni matusi zaidi hebu niambie juu ya Baba ako na nduguze wengine walio oa,ukiona mtoto wa kiume hataki kuoa basi yu mbioni kuolewaNaona unatukana tu, point yako iko wapi!? Kama una stress za ndoa uzi huu uangalie tu, haukufai. Walengwa ni wanaofikiria kuoa si nyie mnaohangaika na ndoa zenu.
Ndoa ni nzuri kwa mwanamke , ila kwa kipindi hiki kwa mwanaume ndoa haina faida yoyote , yani hakuna mwanaume ananufaika na ndoa , Ronaldo ana mke ila hana ndoa , akifunga ndoa saiv itakua na faida kwa nan zaidi kutakapotokea changamoto?Simpigii promo mtu yeyote kuoa ama kutokuoa. Mwisho wa siku si mimi niliemuumba au kumpa pesa za kuendesha maisha yake. Am just thinking out loud hapa;
Katika ndoa kumi ndani ya ukoo wetu, ni moja tu ndio iliovunjika kwa makosa ya wote wawili. Katika ndoa hizo tisa zilizobaki, pamoja na tofauti za hapa na pale nimeona baraka za Mungu zikiwemo namna watu wamefanikiwa kufanya miradi mikubwa, kumiliki mali kadhaa hata kama si nyingi, baraka za watoto wanaojielewa au wanaojitambua.
Sijawahi kuona vikao vya usuluhishi ama magomvi ndani ya ukoo namna ambavyo wanaume wanajielewa na kuna amani tele. Bila kusahau ushirikiano baina ya ndugu kwa kiasi chake huku kila mmoja akijitahidi kusimama katika majukumu yake.
So mimi nilichokiona kwenye ukoo kimeniconvince Ndoa is not as bad as its depicted here. Anyways kila mtu anayo choice anaweza fanya. Kama hutaki ndoa then dont maana haina msaada kwako. Kama unataka then go ahead maana ni maamuzi yako pia. Ifike mahali haya mabishano yaishe. Tuendelee na mambo mengine.
Kama ni mpango wa Mungu mwache Mungu atete hyo taasisi yake inayovuruga akili ya mwanaume wakishashindwana na mke wake .Siyo bure Shetani yumo nyuma ya hili jambo, unatumiwa kwa kujua au bila ya kujua,
Ndoa ni mpango wa Mungu aliye hai, katika familia tunajifunza jinsi ya kumtumikia na kumpenda Mungu, taifa lolote linaanzia ngazi ya familia, sasa unaposhawishi watu wakatae ndoa si bure kuna unayemtumikia wewe.
NAKAZIA.Huu Uzi uwekwe kwenye katiba mpya
Unajua nyie mliooa ni watu wa ajabu sana haya n kipi kipo kwenye ndoa ambacho nikitaka ntakikosa? jibu honestly na usilete mihemko..Hiko ulichokiandika wewe hapo awali ni matusi zaidi hebu niambie juu ya Baba ako na nduguze wengine walio oa,ukiona mtoto wa kiume hataki kuoa basi yu mbioni kuolewa
Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha muda mfupi tu baada ya kuianza hiyo safari ya ndoa!
Kutokana na mikasa na vitimbwi vya wanandoa wengi nilijipa muda wa kufanya utafiti mdogo usio rasmi kuhusu maisha ya ndoa na mwisho wa siku nikaibuka na majibu haya;-
1. Ndoa ni gereza la kiroho, kimwili na kiuchumi kwa mwanaume (ndomana inaitwa pingu za maisha)
2. Ndoa ni mtego wa wanawake kuwatawala wanaume.
3. Ndoa ni chanzo cha magonjwa mengi kwa wanandoa hasa wanaume yanayopelekea vifo vyao (tuna mifano mingi ya wanaume waliopoteza maisha au kupata magonjwa mazito muda mfupi baada ya kuoa)
Kutokana na utafiti wangu huo usio rasmi nimeona niwashauri vijana wenzangu na wanaume kwa ujumla, Hakuna maisha ya furaha na amani ndani ya ndoa kama mnavyohubiriwa.
Ukitaka furaha tafuta pesa ujipe furaha mwenyewe (ukiwa na pesa utapata kila utakacho ikiwa ni pamoja na huduma zipatikanazo ndani ya ndoa)
Achaneni na upuuzi wa ndoa, yaani umtolee mahari, umtunze, uwatunze watoto, umlinde asikusaliti, umridhishe kitandani na bado mkiachana abebe mali zako?
Wabobevu mniambie ndoa ina faida gani kwa mwanaume? Je ni ngono tu au kuna kipi special?
#KATAANDOA
Saw uko sahih mzee sisi bado hatuna maamuz ila
Kugusa gusa mademu weng kuna maliza pesa mno nabaki dilema tutaoa tu tutakua makini na tutakao funga nao pingu za maisha
Atakujibu basi!!!? Hao watu wana stress na wanaumia sana kuona kilichowakimbizia kwenye ndoa tunakipata kirahisi sana huku mtaani na bado tuna uhuru wetu.Unajua nyie mliooa ni watu wa ajabu sana haya n kipi kipo kwenye ndoa ambacho nikitaka ntakikosa? jibu honestly na usilete mihemko..
Atakujibu basi!!!? Hao watu wana stress na wanaumia sana kuona kilichowakimbizia kwenye ndoa tunakipata kirahisi sana huku mtaani na bado tuna uhuru wetu.
Mpaka sasa hakuna mwanandoa aliyekuja na madini ya kutushawishi tuingie kwenye hiyo taasisi yao ya kipuuzi.
Inawezekana ukoo wenu una nasaba nzuri..Ila huku kudumu kweny ndoa napo pia nasaba ya watu fulani inachangia ndo maana ni vizuri kuchunguza nasaba ya mwenza kabla ya kuoaSimpigii promo mtu yeyote kuoa ama kutokuoa. Mwisho wa siku si mimi niliemuumba au kumpa pesa za kuendesha maisha yake. Am just thinking out loud hapa;