Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Yawezekana namtumikia Mungu kwa ukamilifu kuliko nyie mliooa na kuolewa.
Yesu Kristo hakuoa na aliifanya vema kazi iliyomleta Duniani. Mapadri na Watawa wa kikatoliki hawaoi wala kuolewa na ndo hao mnaowaamini na kuwapelekea migogoro ya ndoa zenu waitatue!
Yawezekana kutooa ndo mpango wa Mungu. Fungueni vichwa vyenu.
 
Good na hyo ndo choice yako. Usioe kama hutaki. As for me sijaingia kwenye ndoa kisa nilichoona kwa ndugu zangu, nimeingia kwenye ndoa kwa sababu muda sahihi umefika na pia ni mapenzi ya Mungu yaliyoamua. So I cant judge your choice, have peace with mine. Tuache kufanya hizi convincing na maandamano ya kimtandao yasiyo na tija. Kila mtu anao uwezo wa kimaamuzi. Aamue atakaloona linafaa. Period!!
 
Naona unatukana tu, point yako iko wapi!? Kama una stress za ndoa uzi huu uangalie tu, haukufai. Walengwa ni wanaofikiria kuoa si nyie mnaohangaika na ndoa zenu.
Hiko ulichokiandika wewe hapo awali ni matusi zaidi hebu niambie juu ya Baba ako na nduguze wengine walio oa,ukiona mtoto wa kiume hataki kuoa basi yu mbioni kuolewa
 
Ndoa ni nzuri kwa mwanamke , ila kwa kipindi hiki kwa mwanaume ndoa haina faida yoyote , yani hakuna mwanaume ananufaika na ndoa , Ronaldo ana mke ila hana ndoa , akifunga ndoa saiv itakua na faida kwa nan zaidi kutakapotokea changamoto?
 
Kama ni mpango wa Mungu mwache Mungu atete hyo taasisi yake inayovuruga akili ya mwanaume wakishashindwana na mke wake .
 

Zaidi ya watoto hakuna kipya ndani ya ndoa trust me nilishwahi kuoa,sasa nipo singo naenjoy.
 
Unajua nyie mliooa ni watu wa ajabu sana haya n kipi kipo kwenye ndoa ambacho nikitaka ntakikosa? jibu honestly na usilete mihemko..
Atakujibu basi!!!? Hao watu wana stress na wanaumia sana kuona kilichowakimbizia kwenye ndoa tunakipata kirahisi sana huku mtaani na bado tuna uhuru wetu.
Mpaka sasa hakuna mwanandoa aliyekuja na madini ya kutushawishi tuingie kwenye hiyo taasisi yao ya kipuuzi.
 

nani aliekwambia tuna stress mkuu, ukiona mtu ana stress ujue kaoa kwa kigezo cha tako na sura au kaoa mwanamke ili amtombe tu
 
Inawezekana ukoo wenu una nasaba nzuri..Ila huku kudumu kweny ndoa napo pia nasaba ya watu fulani inachangia ndo maana ni vizuri kuchunguza nasaba ya mwenza kabla ya kuoa

Kuna koo kama Zina laana hawakai ng'o kweny ndoa
 
Natamani kuandika sana kwenye hili!

MFUMO wa kidunia wa kutaka Mamlaka ya kiume yashuke I'll changamoto za kimahusiano ziwe nyingi watu wasioane na KUWA na familia na hata kama familia iwepo isiyo stable unafanikiwa kwa kasi Sana!!

Ndoa imeshambuliwa na mifumo ya kisheria ambayo inaegemea UPANDE wa kikristo ambao sio UKRISTO HALISI bali Bandia!!

Wakati wanawake wanaota mapesa na MAJUMBA TOKA kwa wanaume wanaowaoa wanaume tunahofu na hatma ya ndoa mwanamke anaposhiba baada ya malengo yake kukamilika,ikumbukwe uchumi ndio KIMBILIO la wanawake WENGI kwenye NDOA ili watatue kero zao upendo pekee sio SABABU ya mwanamke kuolewa bali uwezo wa Mwanamme kipesa na kazi!

Sasa je kama huyu mwanamke akiridhika na matunda ya ndoa yake atatulia aongozwe au atataka kujiongoza awe Huru pia kuamua Maisha yake!!?

Haya yanayotokea kwenye ndoa nyingi yanatupa picha mbaya hasa wanaume na ku retreaty kwenye maamuzi ya ajabu ajabu kama haya Eti kataa NDOA!!

Viongozi wa Dini,serikali washiriki kutatua matatizo ya kimfumo katika ndoa ili kunasua Huu mkwamo wa kihisia na kifamilia uliopo! kuendelea kukaa kimya ni kuharibu TAIFA!

Mungu ibariki TANZANIA!!
 
Ushauri kutoka kwa FAILURE! Watu wapo ndani ya ndoa miaka mingi wamemtanguliza Mungu, Wanaishi kwa amani na upendo na wanazikabili changamoto mbalimbali vyema, Wewe leo unawausia vijana waendelee kuishi uzinzi ili wakifa waende motoni?? Shetani shindwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…