Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

Actually wanawake ndio tunatakiwa tuonewe huruma kwa kuwa na wanaume design yenu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Haki sawa imekuvuruga ,kiasili unafahamu baba anawapenda watoto wake wa kike kuliko wakiume ? Hakuna mtu anavita na nyie tunachopinga ni haki sawa imewapa nafasi msiheshimike tena kama zamani , mfumo dume uliwalinda mno.
 
Endelea kujipa moyo ni swala la muda tu ila hamtobaki salama.
 
Saw uko sahih mzee sisi bado hatuna maamuz ila
Kugusa gusa mademu weng kuna maliza pesa mno nabaki dilema tutaoa tu tutakua makini na tutakao funga nao pingu za maisha
Sikiliza moyo na nafsi yako ila pia tunajifunza mengi sana kupitia wale waliopita ktk njia hiyo hivyo usipuuze wasemacho... fanya utafiti na fanya maamuzi sahihi baada ya critical thinking...
 
Umemezeshwa sumu na bimkubwa wako
 
Mkuu hii kitu ndoa bora uachane nayo , kuna tofauti ya kuoa na kufunga ndoa , mwanaume na mwanamke wamekuwa maadui kwa sababu ya ndoa na sio kuoana.
 
Kwa nini asiweze kujitunza ata kama tunawatongoza?
 
Mkuu kwani shida iko wapi pesa si tunamtumia, wala hatumchukii tunampenda kama baba yetu tu, ila kama ulivyosema anything extra let it be extra au siyo mkuu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 unajua kwasababu nimekuambia hivyo. Kwasababu umemtumia kama mfano wa dhihaka katika mitandao ya kijamii. Wewe huoni shida, ila haujui kuwa umemdhihaki mtandaoni😂😂😂. 😂😂 pesa dah! Bado hujajua wazee hutaka nini uzeeni mwao, Dada yangu, acha tu. Hamna shida nakuacha. Ila emotional thinking clouds judgement very much. Haya naacha sista.
 
Ukitoa uchumi wanaume ana ku offer y chromosomes kwa sababu x chromosome ata mwanaume anayo.
 
Mkuu wewe kumsaliti mkeo na kumrudia nyumbani usiku wa manane huku umelewa mara kwa mara na kutaka mwanamke avumilie ndio maana ya ndoa siyo

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Kumsaliti kivip mkuu , mwanaume anaweza kumsaliti mke wake tu kwa kumlaza na njaa na kutompa chakula au kumpiga bila sababu za msingi.
 
Mnatumia nguvu sana kupinga ndoa, wewe kama umeaumua kutoa oa wewe kaa hivyo hivyo
 
Si unaona sasa ndio yale yale niliyosema utakuja kuniambia, na kwanini muwatongoze kama mnataka wajitunze, mkiwatongoza maana yake hamtaki wajitunze hivyo msilalamike maana what goes around comes around

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Ungejibu hili swali ungepata majibu yako yote , mda mwingne nakuuliza swali ili nikujibu swali lako kutokana na jibu lako
 
Kuwasaidia vijana
Unawasaidia kufanya nini hasa?

Kuoa au kuolewa nadhani ni swala binafsi sana, halihitaji mtu kuja kukushawishi au kukuhimiza uoe au usioe.

Wewe umeleta wazo lako ukiwa na malengo gani kwa ambao hawajaoa au kuoelwa?
 
Sijifariji bali huo ndio ukweli wenyewe nenda kasome amri za Mungu then jiulize kwanini amri ya kuwaheshimu wazazi ni ya nne. Najua huwezi kuelewa ha hutokuja kuelewa ila ni swala mda tu hamtabaki salama.
 
Mzee wangu naye alikuwa kama wewe hivyo hivyo, bahati nzuri hakuna aliyewahi kumuuliza wala kumshauri chochote si mama wala sisi watoto wake, cha ajabu sasa hivi analalamika eti mkewe na watoto tumemtenga ndicho anachonishangaza
Msimtenge baba, kuna mengi sana huenda hamyajui kati yenu, mama na baba yenu na hasa kati ya baba na mama yenu.

Sipendi sana kuandika personal issues ila nilipomuuguza baba yangu nilijifunza mengi, mengi sana. Mwanzo nilikuwa na notion ya baba kuwa kikwazo katika mambo mengi, ila alipokuwa karibu na mimi kwa zaidi ya miaka mitatu, nilijifunza mengi, hatukuwahi kukaa na kuongea kuhusu mama au maisha yao(baba yangu hakuwa talkative), ila kupitia hisia zangu nilijifunza mengi.

Msijiingize katika jambo lolote linalohusu wazazi, msiwabague wala kuwatenga. Ndoa ni jambo jema sana, ni taasisi kubwa inayoleta taifa imara, ila ina changamoto mob sana.
 
Unawasaidia kufanya nini hasa?

Kuoa au kuolewa nadhani ni swala binafsi sana, halihitaji mtu kuja kukushawishi au kukuhimiza uoe au usioe.

Wewe umeleta wazo lako ukiwa na malengo gani kwa ambao hawajaoa au kuoelwa?
Kuoa tuna oa ila ndoa ndio watazisikia kwa gara b akizirembesha na harusi
 
Kuoa tuna oa ila ndoa ndio watazisikia kwa gara b akizirembesha na harusi
Kwamba mnaogopa makaratasi, ila mnataka "sogea tuishi"?

Kwa nini mnaingia kwenye ndoa na notion kwamba "tutaachana"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…