kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Familia yenye cheti cha ndoa ndio inapendeza zaidi. Hata kama baba akitangulia mbele ya haki familia bado itaishi kwa raha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha ya familia ni kuishi pamoja, na kuishi pamoja ndio NDOA yenyewe.Kinachopingwa apo ni NDOA na sio familia mkuu
Moja ya faida ni Kumkatia mke na watoto Bima ya Afya, pasipo gharama za ziada kwa waajiliwa...Cheti kinaongeza nini kwenye familia?
Nimejibu ulichoouliza . Ww umeuliza faida ya Cheti kwenye familia, na sio faida za ndoa. Faida za ndoa zipo nyingi kwa wenye akili kuliko mapungufu ya ubinadamu.Haaah! Hauwezi kuwa serious mkuu. Bima ya watoto ndo ikufanye uoe!?
Mwambie huyo falaWake zenu wakija ghetto wanamwaga siri zenu zote, tunawajua in & out. Wengi wenu jogoo mmeuza kisutu.
Faida za ndoa ni zipi hizo ambazo asiye na ndoa anazikosa!? Ukimaliza tuje kwenye hasara za waliooa na wasiooa.Nimejibu ulichoouliza . Ww umeuliza faida ya Cheti kwenye familia, na sio faida za ndoa. Faida za ndoa zipo nyingi kwa wenye akili kuliko mapungufu ya ubinadamu.
Hakuna mwanamke anayempenda au atakayempenda mwanaume.Wanawake hawatakiwi kupenda bali kutii.Katika hili sishauriki. Lazima nioe nikimpata mwanamke anayenipenda