Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

Tatizo ni hiyo aina ya wapenzi mnao okotana nao, na pia mfumo wenu wa maisha mnaouishi na uwezo wa kukabiliana na mazingira.

Umbali haujawahi kuwa tatizo bali ni kisingizio. Mbona wengi wanaoachana ni wale waishio pamoja, tena wengine ingawa bado wanaishi nyumba moja, lakini walishaachana kitambo, wengine wanaishi nyumba moja lakini wanatafutiana sababu ya kuachana.

Ushauri wangu ni huu;
Badala ya kusema “

Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka Moyo sana”, ungesema hivi ; “Kuoa au kuwa kwenye mahusiano yataka Moyo sana”​

Si sahihi kuacha kuishi sababu ya hofu zisizo za msingi. Jiangalie binafsi , pia muangalie mwenzako ni wa aina gani. Ukijiridhisha hamuendani au mtasumbuana kwa mfumo wako wa maishi basi haraka sana piga chini. Usipoteze muda kwa kujidanganya eti atajifunza. Yaani aache kujifunza style mpya za kugongwa aanze kujifunza kukuvumilia?
Hauhitaji mtu wa kukuvumilia, unahitaji mtu anayekustahili katika mfumo wako wa maisha mtakayeendana na kufurahi, siyo mtu wa kuvumiliana.
 
mimi nikiwa mbali nakanyaga mwingine na yeye huko nilipomuacha ana.............
 
Mapenzi ya mbali yanadumu kwa mawasiliano… sasa unasema una mpenzi mnawasiliana kwa manati lazima upigwe tukio
 
mimi nikiwa mbali nakanyaga mwingine na yeye huko nilipomuacha ana.............
So mkuu ukiwa MWANZA kikazi utatafuta mpenzi mwanza hapohapo,

Ukihamishiwa mkoa mwingine kikazi pia ikashindikana kuondoka na huyo mpenzi wako wa mwanza BASI ndo mwisho wa mahusiano yenu, au.....?
 
Ili kuepuka changamoto za kutengana na mtu ambaye unamuhitaji katika maisha yako ni vyema ukaanza kujifunza pole pole kutoka kwake ili siku ukiwa mbali naye ujue kipi mwenzako anapenda na kipi hakipendi mnapokuwa mbali mkuu.
 
Mapenzi ya mbali yanadumu kwa mawasiliano… sasa unasema una mpenzi mnawasiliana kwa manati lazima upigwe tukio
Kutokuwa na mawasiliano ya mara kwa mara nayo huchangia sana kuvunjika kwa mapenzi ya mbali au kupoteza ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…