Kwa sababu maalum hamna shida nitavumiliaKama kweli unampenda kwa dhati mwenza wako na mmetengana kutokana na sababu za kimasomo ama kazi kwa hakika utakuwa tayari kumtunzia penzi lake hadi mtakapokutana tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu maalum hamna shida nitavumiliaKama kweli unampenda kwa dhati mwenza wako na mmetengana kutokana na sababu za kimasomo ama kazi kwa hakika utakuwa tayari kumtunzia penzi lake hadi mtakapokutana tena.
Tatizo ni hiyo aina ya wapenzi mnao okotana nao, na pia mfumo wenu wa maisha mnaouishi na uwezo wa kukabiliana na mazingira.Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu.
Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana.
Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na mkoa au nchi na nchi au bara na bara.
Ninaamini miongoni mwetu ama tumeshuhudia au kusikia au kuona au kuadithiwa kuwa kuna mwanaume au mwanamke ambaye alikuwa na mpenzi, mara mpenzi wake akapata nafasi ya kwenda kusoma mkoa mwingine au nchi nyingine, lakini mwisho wa siku ukasikia wapenzi wale wameachana baada ya mmoja kupata mpenzi mwingine huko aliko.
Inawezekana mpenzi wako alihamishwa kikazi nje ya wilaya uliyopo, lakini mwisho wa siku ukabaini kuwa mwenzio amepata mtu mwingine na mapenzi kwako yameanza kupungua au yamepungua kama siyo kwisha kabisa.
Kwanza kabisa ili udumu na mpenzi wako kuwa na ...
UAMINIFU
Kutokuwa na uaminifu miongoni mwenu, kama wapenzi mtakuwa ni waaminifu katika uhusiano wenu, basi kila unapoingiwa na pepo wa usaliti unakumbuka uzuri wa mpenzi wako, basi unaacha na kujizuia kisha unakuwa umemshinda pepo huyo.
Hili suala hata Equation x unaelewa
UZALENDO
Kutokuwa mzalendo kwa mpenzi wako. Jaribu kumpenda kwa kuwa ndiye uliyemchagua kuwa naye, kila siku Tanzania inasema watumishi wake wawe wazalendo, siyo wao tu hata mapenzi yanahitaji uzalendo wa hali ya juu. Uzalendo wa kupenda kitu chako, kumpenda mpenzi wako, mkeo, mumeo au mchumba wako.mkuu Analyse Lazima ujivunie, ujisifie kuwa naye kisha mthamini.
SUBIRA
Wapenzi kutokuwa na subira au uvumilivu; Hili nalo huchangia kwa kiasi kikubwa mapenzi ya mbali kuvunjika. Kama ilivyo subira ya kila mtu kuamini kuwa ipo siku ataondoka kwenye shida na ugumu wa maisha alio nao, basi Mzee wa kupambania amini na kuwa na subira au uvumilivu kwa mpenzi wako ili mfikie ndoto zenu.
MAZINGIRA
Jiepushe sana na mazingira ambayo yanaonekana kabisa yanaweza kukusababisha ukaingia kwenye uhusiano usio rasmi tena, pengine kwa mtu ambaye huna ndoto naye. Tatizo la kujiingiza kwenye uhusiano kwa sababu za kimazingira linaweza kukufanya ukajikuta umezama kwenye mahaba na mtu ambaye hana mapenzi na wewe na mwisho wa siku ukajikuta unaumia sana. Ukabaki kulaumu watu kama dronedrake
MAWASILIANO
Kutokuwa na mawasiliano ya mara kwa mara nayo huchangia sana kuvunjika kwa mapenzi ya mbali au kupoteza ladha, lakini kama mtu anakupenda kwa dhati, anakupenda tu, anaweza kukupigia simu na kukutumia SMS kibao, lakini akawa bado ni tatizo. Chunga sana mzee wa miongozo Smart911
TAMAA
Kama utaishi kwa kutamani vitu usivyokuwa na uwezo navyo ni dhahiri utajikuta unamsaliti mpenzi wako kwa kuwa tu uko mbali na unaona hawezi kukubana wala kukufuatilia. Ingawa ningekushauri ufanye kitu kwa kujiongoza na siyo kwa kuongozwa na tamaa au kwa kuwa mpenzi wako hayuko karibu nawe.
MKUMBO
Acha maisha ya kufuata mkumbo. Kama mwenzako amefanya kitu f’lani, basi eti na wewe unataka ukifanye au ukipate ili uonekane wa kisasa au mjanja. Kumbuka kuwa mwisho wa siku mtamaliza chuo na mengineyo, kila mtu atasambaa, kama uliharibu kwa mpenzi wako, mwenzio hatakuwepo tena na hapo ndipo utakapoanza kumangamanga na dunia
""Se.x is overrated play safe kama kijana usikubali kutafuta matatizo ambayo yataharibu bajeti yako ya maisha. Maana mtaji wetu sisi hustler ni afya ""'. fundi bishoo said
mimi nikiwa mbali nakanyaga mwingine na yeye huko nilipomuacha ana.............Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu.

Hapo ndo inavotakiwa...Kwa sababu maalum hamna shida nitavumilia
Pengine anaweza asikusaliti lakini wewe ndo ukabaki na mawazo hayo mgandomimi nikiwa mbali nakanyaga mwingine na yeye huko nilipomuacha ana.............
Kweli kabisa mkuu umeongea factMapenzi ya mbali yanadumu kwa mawasiliano… sasa unasema una mpenzi mnawasiliana kwa manati lazima upigwe tukio
So mkuu ukiwa MWANZA kikazi utatafuta mpenzi mwanza hapohapo,mimi nikiwa mbali nakanyaga mwingine na yeye huko nilipomuacha ana.............
Ili kuepuka changamoto za kutengana na mtu ambaye unamuhitaji katika maisha yako ni vyema ukaanza kujifunza pole pole kutoka kwake ili siku ukiwa mbali naye ujue kipi mwenzako anapenda na kipi hakipendi mnapokuwa mbali mkuu.Tatizo ni hiyo aina ya wapenzi mnao okotana nao, na pia mfumo wenu wa maisha mnaouishi na uwezo wa kukabiliana na mazingira.
Umbali haujawahi kuwa tatizo bali ni kisingizio. Mbona wengi wanaoachana ni wale waishio pamoja, tena wengine ingawa bado wanaishi nyumba moja, lakini walishaachana kitambo, wengine wanaishi nyumba moja lakini wanatafutiana sababu ya kuachana.
Ushauri wangu ni huu;
Badala ya kusema “
Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka Moyo sana”, ungesema hivi ; “Kuoa au kuwa kwenye mahusiano yataka Moyo sana”
Si sahihi kuacha kuishi sababu ya hofu zidizo za msingi. Jiangalie binafsi , pia muangalie mwenzako ni wa aina gani. Ukijiridhisha hamuendani au mtasumbuana kwa mfumo wako wa maishi basi haraka sana piga chini. Usipoteze muda kwa kujidanganya eti atajifunza. Yaani aache kujifunza style mpya za kugongwa aanze kujifunza kukuvumilia?
Hauhitaji mtu wa kukubumilia, unahitaji mtu anayekustahili katika mfumo wako wa maisha
Kutokuwa na mawasiliano ya mara kwa mara nayo huchangia sana kuvunjika kwa mapenzi ya mbali au kupoteza ladhaMapenzi ya mbali yanadumu kwa mawasiliano… sasa unasema una mpenzi mnawasiliana kwa manati lazima upigwe tukio
ndio mkuu ni mwendo wa hit and runSo mkuu ukiwa MWANZA kikazi utatafuta mpenzi mwanza hapohapo,
Ukihamishiwa mkoa mwingine kikazi pia ikashindikana kuondoka na huyo mpenzi wako wa mwanza BASI ndo mwisho wa mahusiano yenu, au.....?
The nearest is the dearestndio mkuu ni mwendo wa hit and run
Tatizo vijana wengi wa siku hizi mna mashaka na wapenzi wenu.ndio mkuu ni mwendo wa hit and run
mkuu skuizi hakuna mahabaTatizo vijana wengi wa siku hizi mna mashaka na wapenzi wenu.
Mapenzi ... Ya mkataba mpaka kufa,mkuu skuizi hakuna mahaba
mapenzi yanachosha kakaMapenzi ... Ya mkataba mpaka kufa,
Yamekwisha....
Kuwa single sasa ...
Kuwa single ni aina mojawapo ya ulemavu.mapenzi yanachosha kaka
ni vyema kuwa singo
Kutokuwa na mawasiliano ya mara kwa mara nayo huchangia sana kuvunjika kwa mapenzi ya mbali au kupoteza ladha