Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Kuna wakenya nawaonaga wananunua mbuzi kwenye masoko hapa Arusha na wananunuaga Bei ghali sana. kiasi wakiwa sokoni wabongo husubiri mpaka wamalize kununua.je Kuna yeyote humu kwenye ufaham na solo la kenya?
Soko la kenya lipo vizuri, wana viwanda vinahitaj mbuz za Tanzania ili wachinje wauze nje, changamoto iliyopo wakenya hawapend watanzania waifikie hiyo fursa,, ukienda kwao watakufanyia vitimbwi ikiwemo kukupokonya hela au watakulipa vzr awam ya kwanza, ya pili ya tatu na kuendelea boss anakutapeli mzigo anapotea
 
Mkuu fungua pm yako
 
Watu wanatoa ushauri mzuri ukimfata pm mtu hajibu unamtumia namba basi akutafute upate maarifa napo mtu anabana.Kwa style hii hatufiki popote.
 
Watu wanatoa ushauri mzuri ukimfata pm mtu hajibu unamtumia namba basi akutafute upate maarifa napo mtu anabana.Kwa style hii hatufiki popote.
Wabongo shida iko hapo hatak mwenzake nae afanikiwe yaan anataka akuone hapo ukiteseka to
 
Simple, kama huwaamini unachukua mbuzi wako unaenda kupambana na madalali Vingunguti [emoji28] ndio ukaone vibweka sasa kama hujarudi mbio mbio hapo kiwandani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wahakiki wa mizani ni wa muhimu sana kwenye biashara hii, kuna mizani ilikuwa inakata nusu kilo (1/2) kwa kila mbuzi

Wahuni sana kuweni makini.
 
Wahakiki wa mizani ni wa muhimu sana kwenye biashara hii, kuna mizani ilikuwa inakata nusu kilo (1/2) kwa kila mbuzi

Wahuni sana kuweni makini.
Msomali ni janga ktk mbuzi ACHA kabisa Kuna mtu linnua mbuzi wa 35m akaja kupata faida 1.2m jus imagine!!!wakati hapo ukienda pugu mbuzi wa 10m kipindi ambacho sio Cha msimu
 
Hivi hao mbuzi au nguruwe hawawezi ruka kutoka kwenye gari wakakimbia eh??
Nguruwe kuruka hapana mkuu,
Kwanza nguruwe ni waoga sana gari ikianza kutembea wanatulia sana mkisimama ndio wanaanza fujo.
Mbuzi sijui kwakuwa sijawahi kufanya.
 
Msomali ni janga ktk mbuzi ACHA kabisa Kuna mtu linnua mbuzi wa 35m akaja kupata faida 1.2m jus imagine!!!wakati hapo ukienda pugu mbuzi wa 10m kipindi ambacho sio Cha msimu
Sorry mkuu, naweza kupata mawasiliano yko, nijue kuhusu hii biashara ya mbuzi Kwa sasa
 
Dom sehem gani kiongoz,maana mom nipo Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…