Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Update please, biashara ya mbuzi kwa sasa ipoje?
Bei ununuaji mnadani?
Bei kiwandani?
UPatikanaji?
Usagirishaji?
Swali zuri sana kwakweli,
Then Kwa kuongezea,kuna kiwanda kinaitwa Union meat group kipo Visiga Chalinze ,mode ya payment yake ipo kama Tan choice au kuna ucheleweshaji wa malipo Kwa suppliers?
 
Sijafahamu wanafanyeje hasa. Ingawa nilipata taarifa kuwa Tan choice na Ynion meat Group wana mawakala wao. Hivyo ukitaka kuwauzia inabidi ukaombe kuwa supplier wao wakupe specification zao kisha hao mawakala ndio watakuwa wanakufuata kujakuchukua mzigo kulingana na spevifivation ulizopewa. Na inasemekana hupendelea zaidi mbuzi wadogo miezi 8-12 .
Sina hakika. Bado nafuatilia
 
Asante Sana kwa Idea nzuri ya hii biashara. Natamani nijue zaidi kuhusu namna ya ununuzi wa mbuzi kwenye hayo masoko ya Kondoa.
Ntakuambia vzr kabisaa ila hui sio msimu wake,ila usijichanganye kwenda mwenyewe nakuambia utajuta tulia kwanza
 
Swali zuri sana kwakweli,
Then Kwa kuongezea,kuna kiwanda kinaitwa Union meat group kipo Visiga Chalinze ,mode ya payment yake ipo kama Tan choice au kuna ucheleweshaji wa malipo Kwa suppliers?
Union kukaa wiki tatu hawajakulipa ni kawaida yaani pale uwe na mtaji mkubwa ingawa faida yao nao kubwa ila unaweza peleka leo tarehe 8 ukaja kulipwa tarehe 1 Septemba speaking from Experience,mwisho mtu anajikuta anakula mtaji!!!
Dodoma kuna EPIC sources hawa ni wazuri ,waliyumba kipindi cha Iran na US war,tanchoice ni manguli wala malejendi yaani hawayumbi wana watu wengi sana wanaopeleka mzigo kwao wanalipa soon mzigo ukichinjwa ,ukipeleka kuanzia 20pieces wanakupa advance unnue,na ukiwa mdau wao wa mda mrefu wanakupa pesa
Ila hii biashara usikurupuke ,watu wamefanikiwa wengi na wengi wamefirisika shida ipo kwenye madalali pale pale mnadani wale ndo wabaya vibaya mnoo na wapo kila mnada..
Na kipindi hiki sio msimu mzuri kuanza business mbuzi ziko juu ,kuanzia Septemba mwishoni mpk Janaury ndio pale biashara ipo hasaa
 
Update please, biashara ya mbuzi kwa sasa ipoje?
Bei ununuaji mnadani?
Bei kiwandani?
UPatikanaji?
Usagirishaji?
Kwa sasa biashara sio nzuri ,mbuzi ghali hapa mpk Septemba,inaanza kukaa sawa,ukienda sasa utachoma pesa
Kingine mnadani bei zinategemea na soko lako,mnada siku hyo ukoje,matajiri wapo wengi au wachache,maana masoko yapo mengi,kuna wanaopeleka nairobi,Dar ,Zanzibar na sehemu nyingine ndani na nje ya Tz plus viwandani
Upatikanaji wake ni wewe na soko lako maana kuna mtu mbuzi ambayo wewe utannua elf ,60 ye ataitaka kwa elf 80 ni soko lako ndo litadetermine the price
Msimu wa kuanzia April mpk August sio mzuri kabisaa
April to May wanajiandaa na sikukuu ya Idd pale bei zinashoot saana km unapeleka kiwandani mara nyingi hua tunastop though nao wanaongezaga bei ,Msimu wa June mpk August wana vyakula wakulima pale hawana njaa hvyo bei zinakua juu tu hawana shida
October to January ni kilimo hvyo wanahitaji pesa kulimia.

Usafirishaji kutoka mnadani mpk Mjini kuna magari ,mbuzi moja elf 2 imepanda juzi elf ,2500,ukifka mjini mfano tanchoiche wana Vituo vyao unapeleka wao wanapeleka kiwandani kibaha kuchinja kwa Dodoma sasa hv wamefungua centre yao wanapima nimesahau jina pale kama unaeleka kiteto
Tanchoice hawnaa Longolongo kwenye pesa labda kuwe na dharura hasaa mwisho wa mwaka mara chache wanasumbua
Union kama unajitafuta wanachelewesha saana malipo pesa inakaa mnoo ila faida yao nao mlima ,inapaswa uwe na mtaji mkubwa kufanya kazi union wanakaa hata wiki tatu au hawajalipa na hawatoi advance
Tanchoic wana wadau wengi ukiwazoea wale wapimaji kuna mda wana mess up unajikuta kilo zimekata ,unakula hasara mahela mengi tu ila wazuri hawana longo longo kwenye malipo
Wadau wakubwa wengi wamekimbia tanchoice kwa sababu ya kupata hasara
Mfano mwaka jana kuna jamaa kuna mnada tulienda matajiri walikua wachache mnoo mbuzi ziliuzwa udecheee ujue,alinnua mbuzi 195 kwenda kupima akakata 600k weeee!!!mbona amewahama hapeleki tena kahamia Epic Sources
Epic Source hawa wanapima vzr ila uwe nao kuanzia siku tatu mpk 7 kulipa pesa ,(ila mara nyingi akichinja analipa)na hapa ni pazuri kukuzia mtaji.

Nilisahau bei za kiwandani zina vary kulingana na world market kuanzia 10500 mpk 12000 kilo moja kwa kiwandani.

Nadhani utakua umepata mwanga kwa swali uliza.
kwa sasa mmestop kwa sababu ya bei kiwandani zinakata ntarudi Septemba mwishoni
 
Tanchoice hawnaa Longolongo kwenye pesa labda kuwe na dharurua hasaa mwisho wa mwaka mara chache wanasumbua
Union kama unajitafuta wanachelewesha saana malipo pesa inakaa mnoo ila faida yao nao mlima ,inapaswa uwe na mtaji mkubwa kufanya kazi union wanakaa hata wiki tatu au hawajalipa na hawatoi advance
Tanchoic wana wadau wengi ukiwazoea wale wapimaji kuna mda wana mess up unajikuta kilo zimekata ,unakula hasara mahela mengi tu ila wazuri hawana longo longo kwenye malipo
Wadau wakubwa wengi wamekimbia tanchoice kwa sababu ya kupata hasara
Mfano mwaka jana kuna jamaa kuna mnada tulienda matajiri walikua wachache mnoo mbuzi ziliuzwa udecheee ujue,alinnua mbuzi 195 kwenda kupima akakata 600k weeee!!!mbona amewahama hapeleki tena kahamia Epic Sources
Epic Source hawa wanapima vzr ila uwe nao kuanzia siku tatu mpk 7 kulipa pesa ,(ila mara nyingi akichinja analipa)na hapa ni pazuri kukuzia mtaji.

Nilisahau bei za kiwandani zina vary kulingana na world market kuanzia 10500 mpk 12000 kwa kiwandani

Nadhani utakua umepata mwanga kwa swali uliza.
kwa sasa mmestop kwa sababu ya bei kiwandani zinakata ntarudi Septemba mwishoni
🔥 Madini sana haya God bless you Man.
 
New updates kwenye hii Biashara ni muhimu,naomba kama itawezekana figure sahihi za bei zilizopo Kwa sasa zikiwa updated itakua jambo zuri ,mbuzi wa 30,000 kwasasa kumpata sidhani kama anapatikana
Hakuna mbuzi wa elf 30 ila kuanzia 60 + viwandani wao wanataka haswaa madume kaunzia kilo 7 mpk 9
Kuna kipindi wanachukua majike pia ila hawapendi kwa sababu majike yanaenda na mimba hvyo wanaua vizazi
Pia kuna charges zinalipiwa per piece
Kondoa mbuzi moja kibali gharama jumla 6k
Chemba 6k
Bahi 5k
Chamwino 5k
Mpwapwa 5k
Hapo unalipia kibali,ushuru na permit
Hvyo unaponnua lets say mbuzi wa kilo 7 hakikisha unapigia mahesabu hizo gharama hapo juu plus usafiri per head of goat or sheep
Kwa mfano kama kilo moja ni 11k unatakiwa ili upate faida hakikisha mbuzi haizidi elf 70,maana mfano umennua elf 65,weka elf 7 hapo ,jumilisha na nauli yako and other expenses.
Kwa sasahivi bei ya kuanzia ni 70k mpaka 80k hiyo ni kwa mbuzi wadogo

Asante Sana kwa Idea nzuri ya hii biashara. Natamani nijue zaidi kuhusu namna ya ununuzi wa mbuzi kwenye hayo masoko ya Kondoa.
Kondoa changamoto ni usafiri mbuzi kutoka mnadani mpk mjini wanaswaga, labda uwe mdau mkubwa tanchoice wana uwezo wa kukuletea gari ukinnua mbuzi 400 lakini kama mbuzi 15 au 20 kule changamoto ni transport,,ndo maana wengi kule ni wenyeji wa pale mjini ,na mbuzi wanaswaga kutoka minadani mpk town umbali wa almost 30kms to 90kms zinafika kesho yake au kesho kutwa mfano mnada wa busi au danchenche..yaani mbaali na mjini
Ila ni pazuri kuanzia haswaa kama wale wa nairobi hawapo kule mbuzi ziko chini
Dodoma mjini pale wageni wengi mbuzi ziko,madalali wengi kukata pesa ni dkk tuu ukienda kichwa kichwa...!!!
Kikubwa ni kujitoa biashara ya mbuzi ni biashara kama zingine ukikomaa unatoboa na hela ipo kimtindo ila sasa kuibiwa nje nje haswaa ukiwa mgeni,kuna watu wapo kuiba tu pesa za watu kule hawana Mungu hao dkk wamekusuuza
 
Kwa sasa biashara sio nzuri ,mbuzi ghali hapa mpk Septemba,inaanza kukaa sawa,ukienda sasa utachoma pesa
Kingine mnadani bei zinategemea na soko lako,mnada siku hyo ukoje,matajiri wapo wengi au wachache,maana masoko yapo mengi,kuna wanaopeleka nairobi,Dar ,Zanzibar na sehemu nyingine ndani na nje ya Tz plus viwandani
Upatikanaji wake ni wewe na soko lako maana kuna mtu mbuzi ambayo wewe utannua elf ,60 ye ataitaka kwa elf 80 ni soko lako ndo litadetermine the price
Msimu wa kuanzia April mpk August sio mzuri kabisaa
April to May wanajiandaa na sikukuu ya Idd pale bei zinashoot saana km unapeleka kiwandani mara nyingi hua tunastop though nao wanaongezaga bei ,Msimu wa June mpk August wana vyakula wakulima pale hawana njaa hvyo bei zinakua juu tu hawana shida
October to January ni kilimo hvyo wanahitaji pesa kulimia.

Usafirishaji kutoka mnadani mpk Mjini kuna magari ,mbuzi moja elf 2 imepanda juzi elf ,2500,ukifka mjini mfano tanchoiche wana Vituo vyao unapeleka wao wanapeleka kiwandani kibaha kuchinja kwa Dodoma sasa hv wamefungua centre yao wanapima nimesahau jina pale kama unaeleka kiteto
Tanchoice hawnaa Longolongo kwenye pesa labda kuwe na dharura hasaa mwisho wa mwaka mara chache wanasumbua
Union kama unajitafuta wanachelewesha saana malipo pesa inakaa mnoo ila faida yao nao mlima ,inapaswa uwe na mtaji mkubwa kufanya kazi union wanakaa hata wiki tatu au hawajalipa na hawatoi advance
Tanchoic wana wadau wengi ukiwazoea wale wapimaji kuna mda wana mess up unajikuta kilo zimekata ,unakula hasara mahela mengi tu ila wazuri hawana longo longo kwenye malipo
Wadau wakubwa wengi wamekimbia tanchoice kwa sababu ya kupata hasara
Mfano mwaka jana kuna jamaa kuna mnada tulienda matajiri walikua wachache mnoo mbuzi ziliuzwa udecheee ujue,alinnua mbuzi 195 kwenda kupima akakata 600k weeee!!!mbona amewahama hapeleki tena kahamia Epic Sources
Epic Source hawa wanapima vzr ila uwe nao kuanzia siku tatu mpk 7 kulipa pesa ,(ila mara nyingi akichinja analipa)na hapa ni pazuri kukuzia mtaji.

Nilisahau bei za kiwandani zina vary kulingana na world market kuanzia 10500 mpk 12000 kilo moja kwa kiwandani.

Nadhani utakua umepata mwanga kwa swali uliza.
kwa sasa mmestop kwa sababu ya bei kiwandani zinakata ntarudi Septemba mwishoni
Naomba namba yako Kaka
 
Naomba namba yako Kaka
Njoo inbox uniachie namba tuwasiliane ila wengi wamefeli 😀nakuombea weye uwe na nia ya dhati,maana ni biashara inayohitaji commitments,muda n.k km other business kuna minada kuamka saa tisa mfano manda (chamwino hyo)kurudi kumi jioni hakuna lami jamani🙌🙌🙌yaani so karibu saana tena saana kaka angu...!!!am raedy to give you my hands
 
Kwa sasa biashara sio nzuri ,mbuzi ghali hapa mpk Septemba,inaanza kukaa sawa,ukienda sasa utachoma pesa
Kingine mnadani bei zinategemea na soko lako,mnada siku hyo ukoje,matajiri wapo wengi au wachache,maana masoko yapo mengi,kuna wanaopeleka nairobi,Dar ,Zanzibar na sehemu nyingine ndani na nje ya Tz plus viwandani
Upatikanaji wake ni wewe na soko lako maana kuna mtu mbuzi ambayo wewe utannua elf ,60 ye ataitaka kwa elf 80 ni soko lako ndo litadetermine the price
Msimu wa kuanzia April mpk August sio mzuri kabisaa
April to May wanajiandaa na sikukuu ya Idd pale bei zinashoot saana km unapeleka kiwandani mara nyingi hua tunastop though nao wanaongezaga bei ,Msimu wa June mpk August wana vyakula wakulima pale hawana njaa hvyo bei zinakua juu tu hawana shida
October to January ni kilimo hvyo wanahitaji pesa kulimia.

Usafirishaji kutoka mnadani mpk Mjini kuna magari ,mbuzi moja elf 2 imepanda juzi elf ,2500,ukifka mjini mfano tanchoiche wana Vituo vyao unapeleka wao wanapeleka kiwandani kibaha kuchinja kwa Dodoma sasa hv wamefungua centre yao wanapima nimesahau jina pale kama unaeleka kiteto
Tanchoice hawnaa Longolongo kwenye pesa labda kuwe na dharura hasaa mwisho wa mwaka mara chache wanasumbua
Union kama unajitafuta wanachelewesha saana malipo pesa inakaa mnoo ila faida yao nao mlima ,inapaswa uwe na mtaji mkubwa kufanya kazi union wanakaa hata wiki tatu au hawajalipa na hawatoi advance
Tanchoic wana wadau wengi ukiwazoea wale wapimaji kuna mda wana mess up unajikuta kilo zimekata ,unakula hasara mahela mengi tu ila wazuri hawana longo longo kwenye malipo
Wadau wakubwa wengi wamekimbia tanchoice kwa sababu ya kupata hasara
Mfano mwaka jana kuna jamaa kuna mnada tulienda matajiri walikua wachache mnoo mbuzi ziliuzwa udecheee ujue,alinnua mbuzi 195 kwenda kupima akakata 600k weeee!!!mbona amewahama hapeleki tena kahamia Epic Sources
Epic Source hawa wanapima vzr ila uwe nao kuanzia siku tatu mpk 7 kulipa pesa ,(ila mara nyingi akichinja analipa)na hapa ni pazuri kukuzia mtaji.

Nilisahau bei za kiwandani zina vary kulingana na world market kuanzia 10500 mpk 12000 kilo moja kwa kiwandani.

Nadhani utakua umepata mwanga kwa swali uliza.
kwa sasa mmestop kwa sababu ya bei kiwandani zinakata ntarudi Septemba mwishoni
Asante sana Kiongozi.
NIko serious na hii business. Kama hutajari naomba tuwasiliane kwa 0764980843. Nahitaji kujifunza zaid.
 
Back
Top Bottom