Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Ulifikia wapi
 
Ulifikia wapi
Ambacho nimegundua katika biashara hii,fanya uwezavyo hakikisha gharama za usafiri unazipinguza na pia hakikisha mbuzi utakao nunuzia wawe bei rahisi.
Swali la msingi ni je unawezaje kutatua changamoto ya usafiri ikiwa wewe unaanza Biashara Kwa mtaji mdogo wa mbuzi 30 au 50??
 
Reymage, Mungu akubariki sana unatema madini mazito sana ,ninaomba Kwa mtu yoyote ambaye anafahamu jinsi ya kufanya cost minimization katika biashara hii atujuze ,kwani faida kubwa ukicheza vibaya inamalizwa na issues za usafiri.
 
Reymage, Mungu akubariki sana unatema madini mazito sana ,ninaomba Kwa mtu yoyote ambaye anafahamu jinsi ya kufanya cost minimization katika biashara hii atujuze ,kwani faida kubwa ukicheza vibaya inamalizwa na issues za usafiri.
Shukrani tupo pamoja sikiliza tafuta 2m za kuanzia mbuzi 20 tuu!!!usianze juu!!!ukihitaji chochote kwenye hyo sekta haswaa kwa Dodoma nicheki maana ndo minada yangu hapa August mwisho naenda Insha Allah kucheki situation kama imeanza kurudi
 
Usafiri huwezi punguza maana bei ipo fixed ,cha kufanya mbuzi nnua vzr yaani hakikisja unajua bei ya Kiwandani ya hyo siku then nnua vzr,ili ukiweka gvt charges upate pesa
Mimi nshannua mbuzi 6 nkapata 150k
Na nshanunua mbuzi 30 nkapata 30
Hvyo yaani
Kikubwa usifate mkumbo ndo kanuni ya hii biashara na unnue kwa wakulima tu,kuna watu wanaitwa magaragaja wao wanannua pale pale na kuuza hao ndo wanapandisha bei na wako wengi kuliko matajiri,ukiwa mgeni ukikutana nao utafurahia watakubamiza,wengi wanakuja mnadani wanakutana na garagaja wanapigwa hawarudi,mimi pia mwanzoni nilikutana nacho balaa!!unakata pesa balaaaa!!kule kuzuri uende na mtu akushike mkono,akikuambie usinnue ,usibishe ndo utatoboa kama wiki hivi ,na akupe dos and donts ,unless unakata pesa brother,nipo huko ,na ntaendelea kuwep wala siondoki mpk nitimize malengo yangu.
Kingine never ever trust mtu yoyote kule
 
Shukrani tupo pamoja sikiliza tafuta 2m za kuanzia mbuzi 20 tuu!!!usianze juu!!!ukihitaji chochote kwenye hyo sekta haswaa kwa Dodoma nicheki maana ndo minada yangu hapa August mwisho naenda Insha Allah kucheki situation kama imeanza kurudi
Asante sana Kaka ,tuko Pamoja
 
A
Asante sana Kwa ushauri kaka,0718884570 tuwasiliane ndugu yangu
 
Jumamosi iliyopita nilifanikiwa kufika Tanchoice. Asante Reymage, Sley na wengine wote kwa kutiana moyo. Kwa swala la upokeaji wa mzigo hadi upimaji sikuona shida yoyote. Nilikabidhi mzigo wangu alfajiri j.mosi. Utambuzi wa mifugo kulingana na alama za kila Supplier ulianza mida ya saa 1 ,Uchinjanji ukaanza mida ya saa 2:30 asubuhi , mbuzi wangu walifikia foleni mida ya saa 6 mchana hadi upimaji. Baada ya kuwapima nikapewa risit yangu nikaondoka. J.pili mida ya saa4 asubuhi nikapokea malipo yangu.
KAzi kubwa kwako Supplier ni kujua mbuzi unayemnunua atayoa kilo zitakazokupa faida?. Hapo ndo penye mtihani unaweza kukadria mbuzi kuwa atatoa 7kg akatoa 5kg.
Mbuzi wanaohitajika ni wenye afaya njema niliona mbuzi wakubwa waliotoa 17kg wengi 12-16 kg , huyu wa 17kg nilimwona mmoja, niliuliza juu ya 7-9kg wakasema wanachukua mbuzi wa uzito wowote ispokuwa asiwe amekonda au kuzeeka. Wana daktari anayechunguza nyama ya kila mbuzi kama atakua ameathirika hawachukui hiyo nyama, watakutumia taarifa na picha ya mbuzi husika. Kama ameathirika sehemu tu ya nyama, wanaondoa kipande kilichoathirika wanapima kile kilichosalia.
Swali ambalo sikulidhishwa majibu yake ni juubya vichwa, matumbo na ngozi kwa nini havipimwi ili kuongezanpato la supplier. Mjibu ni kwamba wao wananunua nyama, wale wanao nunua kwa physical weight ndio hufanyia kazi hivyo vingine. Zaidi sana upimaji ni wa kawaida na mzuri.
 
Tuko
Pamoja sana kaka
 
Hili nalo neno
 
Shukrani kaka
 
Wapo mkoa gani ofisi zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…