Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Sina uhakika ila sidhani kama kitoto kinaweza fikisha kilo sita coz wanapima baada ya kutoa vitu vya ndani vyote yani utumbo,ngozi na kichwa.Moe nadhani wa kg 6 ni wale size ya kati sio mkubwa wala sio kitoto
Kama hajazaa huyo n mtoto tu, kama hajaanza kupanda huyo n mtoto
 
Jana nilipata nafasi ya kufika pale kiwandani TanChoice soga nikapata kujifunza na kuelezwa mambo kadhaa kama ifuatavyo:-
- kwa sasa bei ya mbuzi kg ni 8700/= kama ukiwapeleka mwenyewe pale kiwandani na 8400/= kama ukiwapeleka kwenye center yao pale kizota dodoma
-Kwa sasa wanachukua mbuzi saizi ya kati btn 6-10kg hata ikizidi wanachukua ila wanapendelea sana size hiyo
-Wanapendelea sana mbuzi dume kuliko jike
-Mbuzi wakubwa kwa sasa hawachukua kwa wingi kwani walikuwa wanapeleka china na soko la china limesimama kidogo
NILICHOJIFUNZA-Hii biashara inahitaji uzoefu na umakini wa hali ya juu sana,uwe na uwezo wa kukadilia kg za mbuzi ndio maana wengi wao wanaopiga profit ni wamasai ingawa nao pia sometime wanakula loss.Pia ukitaka kushuhudia uzito wa mbuzi wako ni ruksa sio kama watu walivyodai kuwa huwezi kushuhudia.
Ni hayo tu ukiwa na swali karibu
Kwa kondoo hukupata taarifa zozote maana Mimi nadili na kondoo tu
 
Mkuu ninapenda kukupongeza sana na nimependa sana spirit yako!! Tangu huu mjadala umeanzishwa nimekuwa nikiufuatilia na nimeona una nia dhabiti na umeenda physically kiwandani na Ukaenda Kondoa pia, Big up!!! Nilichogundua watu wengi hasa wanaume hap JF ni lele mama wanapenda kutafuniwa hadi kumezeshwa imagine mchongo wameshapewa wanaingia kwenye simu zao na kuomba simu, hawa ndio hufuga na kulima kwa simu wakiwa kitandani (watoto wa mama, vijana walaini na nyororo, vijana wa kushinda mlimani city).

Njoo inbox tupange namna ya kushirikiana.
Boss ningependa tuwasiliane kama hutojali
 
Njoo twende Mimi nimevaa roho ya utafutaji si ngono ata gharama ya malazi tutashare chumba kimoja kama wakongo(mfanyabiashara mwanamke na mwanaume wakongo wanaweza kushare room moja ugenini ili kubana matumizi)

NO NGONO WATU WANAWAZA PESA TU!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kwa wale wa mwnza pia kuna kiwanda cha nyama misungwi kuna muda walisitisha ila sijajua kama wanaendelea hivi sasa ama lah
Misungwi kipo sehemu gani?
Nakifahamu Alpha Cha wilaya ya Magu, kilifungwa na Sasa kimeshafunguliwa,wakati kinafungwa ndio nilikuwa nimemaliza kukabidhi mbuzi wangu watu wa afya na mifugo wakafanya yao dah!
 
je kiwanda ni kimoja tu kwa dar na huko Arusha

na wanapokea Mbuzi siku gani au ni kila siku?

kiwanda kiko wapi kwa hapa dar,

kuna utaratibu gani wa kupeleka mbuzi wako.. unaandikishwa in advance ili kuwa supplier wao au unaweza tu ukaja na mbuz wakapokea..

na hizo alama mnaowaweka mbuzi mlikuwa unawaandika na nini au ndo kuwa piga chata na vyuma vya moto

Je wanapokea Aina nyingine za nyama kama vile ng'ombr au ni mbuzi tu
Kuna kingine Mwanza
 
Jana nilipata nafasi ya kufika pale kiwandani TanChoice soga nikapata kujifunza na kuelezwa mambo kadhaa kama ifuatavyo:-
- kwa sasa bei ya mbuzi kg ni 8700/= kama ukiwapeleka mwenyewe pale kiwandani na 8400/= kama ukiwapeleka kwenye center yao pale kizota dodoma
-Kwa sasa wanachukua mbuzi saizi ya kati btn 6-10kg hata ikizidi wanachukua ila wanapendelea sana size hiyo
-Wanapendelea sana mbuzi dume kuliko jike
-Mbuzi wakubwa kwa sasa hawachukua kwa wingi kwani walikuwa wanapeleka china na soko la china limesimama kidogo
NILICHOJIFUNZA-Hii biashara inahitaji uzoefu na umakini wa hali ya juu sana,uwe na uwezo wa kukadilia kg za mbuzi ndio maana wengi wao wanaopiga profit ni wamasai ingawa nao pia sometime wanakula loss.Pia ukitaka kushuhudia uzito wa mbuzi wako ni ruksa sio kama watu walivyodai kuwa huwezi kushuhudia.
Ni hayo tu ukiwa na swali karibu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji173]Tajiri wa roho umefanya kazi iliyotukuka Mungu akuinue mimi naendelea kukusanya kidogokidogo nimejenga mabanda sina haraka nimenunua size ndogo,, nawakuza na kuzalisha baada ya miezi 6 nitaanza mauzo mwisho wa mwezi huu nitafika kiwandani ili nijipange kibiashara haswa kwakweli mleta mada Mungu ameinue katika viwango vya juu!! wakifika mbuzi 300 najua wana uwezo wa kuzaa mbuzi 20-30 kila mwezi nitavuka

hii no kwa ajili ya hii biashara tuu lakini mimi ni mfugaji wa mbuzi wa nyama wa kisasa GALLA/ISOLO na BOER nilianza na mbuzi 22 leo nina mbuzi 60 miezi 4 iliyopita hii ni kwa ajili ya kupata mbegu bora ya nyama ambayo imeonekana hadimu sana mpaka wafuatwe somalia na Uganda!! mimi napambana kuonyesha tofauti mbarikiwe
 
Unafugia wapi ndugu..?
 
Mkuu mbuzi wa boer wananunuliwa viwandani Bongo? I thought wanataka local breeds
 
Msaada kujibiwa wadaw...
1.Risks zake kubwa na muhimu kizijua ni zipi..?
2. Ni vitu gani vya kizingatia ili kuepoka loss.
3. Je kuna ubabaishaji wowote wakati wa kununua, kusafirisha na kuuza pale kiwandani..?
4. Mtaji wa milioni moja 1M ni mzuri kianzia..?
 
Maswali aya yote yamejibiwa ndugu,
 
mwenye taarifa ya hiki kiwanda atujuze tafadhali...
Screenshot_20211020-160341.jpg
 
Mkuu mbuzi wa boer wananunuliwa viwandani Bongo? I thought wanataka local breeds
Boer wangu na Galla sio kwa ajili ya kiwandani my dear hizi nataka kuzaliza kwa wingi cause ni adimu then soko lake lipo! nimeeleza wazi kuwa nakusanya local kwa ajili ya kiwandani,,ila ukipata majike local ukapandisha na Galla au boer utapata vitu amazing wacha tuendelee kupambana
 
Nimefika kahama kijijini huku, mbuzi bei yake sio kubwa mpaka nimeshangaa...mbuzi wana bei ya kuku...25k, 30k,35k,40k kulingana na ukubwa...sasa nataka kuwapakia niwapeleke shamban kwangu Dar..
Je, vibali gani vinahitajika?
 
Tafuta mtu mwenye vibali usafilishe nae wewe itakugarimu
 
Back
Top Bottom