ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Agriculture kwa level gani mkuu?Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.
Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.
TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Level MUST tunaanzia small scale kwa target [emoji457][emoji457][emoji457] wakuu mm nmelima vitunguu swaumu kwa SIMU ntawapa mrejesho though natumiwa FOTO ya kila stage navuna wa 9.. INSHALLAHAgriculture kwa level gani mkuu?
Biashara zenye profit za kudumu mpaka wajukuu zinahitaji muda na utulivu tatizo sisi muda umeshafanyiwa figisu za kisiasa haupo, muda uliopo ni mdogo kama masaa sita hivyo Kila mtu inabidi afanye biashara za uchuuzi Ili kupata mauzo ya kipindi kifupi, imagine masaa sita unaweza kusuka blender, mashine yoyote ya kurahisisha kazi na ikaisha kitu ambacho hakiwezekani ndo maana hizo biashara zenye productin zinafanyika na watu wa nje ambao kwao mchana na usiku siyo kikwazo kwao na muda unalindwa sana na Kila mtu.Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.
Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.
TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Umelima kwa simu enhe? Usiache kutupa mrejesho.Level MUST tunaanzia small scale kwa target [emoji457][emoji457][emoji457] wakuu mm nmelima vitunguu swaumu kwa SIMU ntawapa mrejesho though natumiwa FOTO ya kila stage navuna wa 9.. INSHALLAH
HaaaaaaaaUmelima kwa simu enhe? Usiache kutupa mtejesho.
Ubunifu ndio sumu ya biashara au uwekezaji bila kusahau location.Zote zina watu kikubwa ubunifu
Hahah Kilimo cha WhatsApp sioLevel MUST tunaanzia small scale kwa target [emoji457][emoji457][emoji457] wakuu mm nmelima vitunguu swaumu kwa SIMU ntawapa mrejesho though natumiwa FOTO ya kila stage navuna wa 9.. INSHALLAH
Mkuu wazo zuri lakini je nizipi biashara za kufanya kwa nyakati hizi?Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.
Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.
TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Naomba unitag Bandiko lako lolote linaloelekeza business kubwa pleaseMambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.
Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.
TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Aisee tafuta dabokik ujipongeze. Kila mtu anapofikiria uchumi ni kuuza tu..natamani hawa vijana wachimi waje na sistm nzuri za kibiashara..sistm za masoko na uzalishaji..wamachinga tumeshakuwa wengi jaman lets get out of the box.Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.
Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.
TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Yale ma cover nayoona yanakaa hadi yanachakaa inakuwaje mkuu?1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro
2.Sigara maeneo ya city center
3.Vitabu mbali mbali
4.Vitu vya watoto na urembo
5.Ma cover ya simu na protector
6.Mikoba
Ukimaliza utafute na watu wa kufuatilia kodi, utafanikiwa!Vipi ukajibana na kujidunduliza kisha uwekeze kwenye real estates wakuu hapa simanishi kuwa na malls au apartments lahasha.
Hapa namanisha unatafuta plots hata tatu kando kidogo ya mji unajenga nyumba au vyumba viwili, choo na sebule jitahidi kila mmoja ajitegemea umeme na maji pia fensi ya ukuta kwajili ya ulinzi.
Nawasilisha.