Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.

Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.

TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
 
Agriculture kwa level gani mkuu?
 
Biashara zenye profit za kudumu mpaka wajukuu zinahitaji muda na utulivu tatizo sisi muda umeshafanyiwa figisu za kisiasa haupo, muda uliopo ni mdogo kama masaa sita hivyo Kila mtu inabidi afanye biashara za uchuuzi Ili kupata mauzo ya kipindi kifupi, imagine masaa sita unaweza kusuka blender, mashine yoyote ya kurahisisha kazi na ikaisha kitu ambacho hakiwezekani ndo maana hizo biashara zenye productin zinafanyika na watu wa nje ambao kwao mchana na usiku siyo kikwazo kwao na muda unalindwa sana na Kila mtu.
 
Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.

Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.

TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Mkuu wazo zuri lakini je nizipi biashara za kufanya kwa nyakati hizi?
 
Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.

Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.

TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Naomba unitag Bandiko lako lolote linaloelekeza business kubwa please
 
Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.

Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.

TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Aisee tafuta dabokik ujipongeze. Kila mtu anapofikiria uchumi ni kuuza tu..natamani hawa vijana wachimi waje na sistm nzuri za kibiashara..sistm za masoko na uzalishaji..wamachinga tumeshakuwa wengi jaman lets get out of the box.
 
Vipi ukajibana na kujidunduliza kisha uwekeze kwenye real estates wakuu hapa simanishi kuwa na malls au apartments lahasha.
Hapa namanisha unatafuta plots hata tatu kando kidogo ya mji unajenga nyumba au vyumba viwili, choo na sebule jitahidi kila mmoja ajitegemea umeme na maji pia fensi ya ukuta kwajili ya ulinzi.
Nawasilisha.
 
Ukimaliza utafute na watu wa kufuatilia kodi, utafanikiwa!
 
Wabongo tunapenda sana uchuuzi..

Yaani kuuza mikoba sijui nguo. Hizo biashara za kika mtu..

Graduate unatakiwa ufanye biashara za kibabe. Yaani hata ukifa wateja wakumiss..

Mfano kuandika mashairi ya wimbo wa bongofleva ni kazi rahisi sana kuliko kufanya mtihani wa kiswahili wa form 4 ama wa form 6.

Why graduates usianzishe biashara ya kutunga nyimbo na kuwauzia wasanii.. kina ruby na nandy hawawezi kukunyima hela kama unaandika nyimbo nzuri wao wanaimba tu..

Ama unacheza na youtube. Content za kufa mtu.. mtaji wako camera tu.. maana mama samia ameshafuta tozo za leseni... yaani millard form 4 failure anaweza.. wewe graduates huwezi buni content za kukupa jina na pesa youtube kweli?
 
Back
Top Bottom