Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

Nakataa
Biashara zenye profit za kudumu mpaka wajukuu zinahitaji muda na utulivu tatizo sisi muda umeshafanyiwa figisu za kisiasa haupo, muda uliopo ni mdogo kama masaa sita hivyo Kila mtu inabidi afanye biashara za uchuuzi Ili kupata mauzo ya kipindi kifupi, imagine masaa sita unaweza kusuka blender, mashine yoyote ya kurahisisha kazi na ikaisha kitu ambacho hakiwezekani ndo maana hizo biashara zenye productin zinafanyika na watu wa nje ambao kwao mchana na usiku siyo kikwazo kwao na muda unalindwa sana na Kila mtu.
nakataa
 
Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.

Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.

TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
We nae Mpesa nayo ni biashara ya kumshauri mtu kufanya? Any way inawezekana wewe unafanya na unapiga mkwanja mrefu ebu twambie wewe unaingiza kias gan kwenye M-PESA ili nasi to be motivated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ukajibana na kujidunduliza kisha uwekeze kwenye real estates wakuu hapa simanishi kuwa na malls au apartments lahasha.
Hapa namanisha unatafuta plots hata tatu kando kidogo ya mji unajenga nyumba au vyumba viwili, choo na sebule jitahidi kila mmoja ajitegemea umeme na maji pia fensi ya ukuta kwajili ya ulinzi.
Nawasilisha.
Biashara kichaa hii. Real estate sio biashara ya kujibana kwa hela za jasho, ni biashara ya kuwekeza hela ambazo hukutarajia na hukuwa na plan nazo. Mfano mafisadi, wauza madini wakiotea, ukishinda tuzo, au ukiwa na biashara inalipa sana kwa mfumuko lakini unajua kuna siku itaanguka.

Huwezi hangaika na mishahara kisha ukafanya real estate
 
Wabongo tunapenda sana uchuuzi..

Yaani kuuza mikoba sijui nguo. Hizo biashara za kika mtu..

Graduate unatakiwa ufanye biashara za kibabe. Yaani hata ukifa wateja wakumiss..

Mfano kuandika mashairi ya wimbo wa bongofleva ni kazi rahisi sana kuliko kufanya mtihani wa kiswahili wa form 4 ama wa form 6.

Why graduates usianzishe biashara ya kutunga nyimbo na kuwauzia wasanii.. kina ruby na nandy hawawezi kukunyima hela kama unaandika nyimbo nzuri wao wanaimba tu..

Ama unacheza na youtube. Content za kufa mtu.. mtaji wako camera tu.. maana mama samia ameshafuta tozo za leseni... yaani millard form 4 failure anaweza.. wewe graduates huwezi buni content za kukupa jina na pesa youtube kweli?
Wewe unaamini degree inaandika mashairi. Kile ni kipaji sio elimu, hakuna vyuo cha kufundisha kipaji bali cha kuinua vipaji. Mtu amegraduate na gamba la Logistics unamwambia aandike mashairi ya kina Kondeboy yale ya nataka kutooo...totoo... unahisi kuna elimu inamuelekeza uko
 
Level MUST tunaanzia small scale kwa target [emoji457][emoji457][emoji457] wakuu mm nmelima vitunguu swaumu kwa SIMU ntawapa mrejesho though natumiwa FOTO ya kila stage navuna wa 9.. INSHALLAH
Umelima kwa simu? Mara mwezi wa 9 unaenda kuvuna hukuti shamba lenyewe[emoji848]
 
Isije kuwa photos zinapigwa kwenye shamba la mtu mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishawahi kunusurika kufa kwa presha Ruaha Mbuyuni baada ya kukuta shamba ninalojua tumelima likiwa vichaka tupu huku kwenye simu kuna ekari 5 za vitunguu.
 
Biashara kichaa hii. Real estate sio biashara ya kujibana kwa hela za jasho, ni biashara ya kuwekeza hela ambazo hukutarajia na hukuwa na plan nazo. Mfano mafisadi, wauza madini wakiotea, ukishinda tuzo, au ukiwa na biashara inalipa sana kwa mfumuko lakini unajua kuna siku itaanguka.

Huwezi hangaika na mishahara kisa ukafanya real estate
BIG IQ
 
Huwa nashauri mtu asifanye chochote ambacho ni rahisi kuigwa eneo alilopo. Lakini endapo atafanya aweke iwe tofauti sana na wengine. Mihogo ile ile ila kachumbari yake sasa iwe tofauti sana.
 
Mambo yale yale kila mtu anawaza BIASHARA nyepes always...lkn nawambia for long term profit invest in agriculture or money systems...eg m pesa though u must choose good location.

Chukua vijana hasa hasa graduates. Wape kila mtu milion 10 then waambie wafanye business ..utashangaa kilaa mtu anafungua stationary,duka la simu,nguo na utopolo mwngi..then after 6 months kila mtu chali.

TUNAWAZA BUSINESS NYEPES MUNOO ....ambazo kwa sku hata kulaza faida ya 20k ni mtiti...
Aliyekwambia stationery ni business nyepesi amekudanganya! Mm nafanya biashara ya stationery toka nimeanza haijavuka hata miaka miwili, kwa Sasa napata faida ya 300,000/= kwa mwezi, ambayo naigawa sehemu3.
1. Kijana wa kazi
2. Mm mwenyewe
3. Stationery yenyewe.

Naomba usiwakatishe tamaa vijana waliomua kuzama ktk biashara hii yenye faida kubwa.
 
Back
Top Bottom