Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kama ujawahi kufika nchi za watu uwezi kufahamu.
Hapa kwetu tunekarabisha wasiojulikana ambao ni serikali.
Kwa nchi za wenzetu utekaji wa watoto ni mkubwa sana.Wengi uchukuliwa kwenda kuuzwa kutumikishwa kingono,uuzaji wa viungo na n.k.
Ukiangalia wenzetu walivyo makini na watoto wao sio ilivyo tanzania .Unajisifia mtoto na mtuma dukani unacheka.
Kenya kishawalamba sana.