Unalima afu unaenda muuzia nani?Nchi bado ina mapori mengi, mngetafutana vijana kadhaa, then mkaionbe serikali iwakatae sehemu ya mapori ili muweze kufanya shughuli za kilimio mngeweza sana kusaidia kuinua uchumi wa taifa na kusaidia kupunguza wimbi la vijana kukimbia nchini
Kumbuka hataweza pata kazi endapo atavamia, akidakwa anarudishwaKuna conference ya kanisa U.S unapata invitation letter. Conference IPO mwezi wa 8 Missouri, nitatoza gharama kidogo kwa mwenye uhitaji.
Including supporting Documents
Hiyo invitation letter
Filling visa form na ku book appointment.
Karibuni sana.
Unapiga video clip halafu una trendisha mitandaoni, mama akiona atamwambia waziri akatafute wateja.Unalima afu unaenda muuzia nani?
Kumbuka hataweza pata kazi endamia, akidakwa anarudishwa
Mbona upo kukatisha watu tamaa.hivi wajisikiaje labda?.kurudishwa ni matokeo tu kama mengine.Kumbuka hataweza pata kazi endapo atavamia, akidakwa anarudishwa
Mama asipoona??Unapiga video clip halafu una trendisha mitandaoni, mama akiona atamwambia waziri akatafute wateja.
Unakua unauza kidogokidogoMama asipoona??
Kumbuka hataweza pata kazi endapo atavamia, akidakwa anarudishwa
Mwaka huu naanda passport na nauli ..kitaeleweka tuu
Kweli asee.. passport nikishapata vingine vitafuataMoja ya kitu muhimu sana kuwa chapo ni Passport na usikose Fani yoyote ile Udereva or chcohote inasaidia sana
Paka kieleweke. Kamwe usikubali urudi nyuma hata kama umepita sehem kuna tangazo linasema hakuna njia mbeleMwaka huu naanda passport na nauli ..kitaeleweka tuu
Marekani ukikosa kazi ni umetaka, labda uwe teja
Mualiko pekee utalipia USD 100. Unafanyika Missouri. Utatuma copy ya passport yako yenye majina yako yote kamili.Huo mualiko wa kikanisa process zikoje askari??
Hiyo inategemea na supporting documents ambazo utahitaji mkuu, cause kila mtu anakuwa na different case.Kama hutojalii tupe gharama zote tuone tunafanyeje
Naomba kujua jinsi ya kujaza hiyo green card mana huwa najaribu mwishowe naishia kati.Msaada wenu wakuu.ingawa nilijaza green card mwaka Jana.lakn bado nahitaji mwongozo wenu wakuu.najua hapa jf nipo sehem sahihi Sabah kuna watu tofautitofauti na life ya MTU iko kwa MTU.jaman wakuu mwenye kuguswa na jambo hili naomba anisaidie ,ni bora kusema ukweli .nahitaji msaada wenu