Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Du! Aiseee!! Opportunity zinafunguka halafu miaka yenyewe hii late 30's ndo umri unaelekea matiti .... 😔😔... Enzi hizo 2010 tulijaribu na hizo Conference tukagonga mwamba...
Siyo enzi hizo mkuu hadi sasa tunagonga miamba
 
Mikondo ya nini [emoji16]
Kuliko kupoteza mda kutembeza bahasha ukitegemea kuokota kazi.
Kula kozi fupi ya ubaharia uza Shamba ingia Canada, korea kusini, Dubai, omba kozi ya kuendelea na kozi ya ubaharia Ili upate viza, piga shule kamata meli.
NB ubaharia ni wito, ni hobby, ni adventure ni Kazi ya kijana miaka 30 kushuka chini au miaka 50 kwenda juu ambae alishamaliza kuzaa. Hii Kazi ni kukaa mbali na familia.
Kazi ya kukaza moyo ukiwa mtoto wa Mama achana na Kazi hii, kuna mikondo huko utaomba poo ushuke.
 
Wanapima oil babu wakikuta slid wanaita nigger likurarue marinda
Usijaribu
Wakuu naona waganda wanaondoka sana kiwanja kwa kusingizia mashoga na wanaikimbia nchi yao kwa kusakwa na serikali ya museven naona hiyo ni fursa pia kwa upande wa wasafiri kafiri ukifika mambele unajilipua tu kwamba wewe shoga na unatoka uganda, utapewa mwanasheria, na hifadhi kwa kuhudumia kwa mwaka mzima Chakula, Hifadhi tena Sehemu classic kabisa then kesi ikienda poa unapewa ukaadhi maisha yanaendelea fanya chao chap wazeeee
 
Mkuu US umewahi fika?
Kuna Dogo humu JF nimemsaidia kapata viza ya Canada kakimbia na pesa ya watu ya documentation, yupo Toronto mwenyewe anajiona mjanja kwelikweli.

Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kuwa waaminifu Sasa kila mtu ashinde mechi zake.
 
Unadhani wacanda mafala,hizo ni story za kijiweni hakuna nchi ngumu kwa sasa kutoa karatasi kama Canada
 
Mkuu tumetofautiana.nikweli unapo msaadia MTU akatenda ndivyo sivyo inakuwa ngumu kumsaidia mwingine sababu ukingatwa na nyoka hata jani likikugusa unaruka.lakn kama una moyo wa kusaidia BC saidia tu Mungu ndo atakulipa
 
Kuna Dogo humu JF nimemsaidia kapata viza ya Canada kakimbia na pesa ya watu ya documentation, yupo Toronto mwenyewe anajiona mjanja kwelikweli.

Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kuwa waaminifu Sasa kila mtu ashinde mechi zake.
Kudadeki huyo dogo mimi nimemumaindi kinyama .yani Mimi nahangaika kutafuta MTU atakaye nisaidia now miaka inazidi kwenda alfu yy anazingua hivyo daaah.
 
Unadhani wacanda mafala,hizo ni story za kijiweni hakuna nchi ngumu kwa sasa kutoa karatasi kama Canada
Ingekuwa unachosema ni kweli Lema asingepata asylum seeker akiwa Nairobi.

Canada wanachelewa tu kutowa viza, application zako wanakaa nazo muda mrefu lakini wakikupa viza imetoka hiyo.

Mpaka Sasa Canada ndio nchi inayohitaji watu zaidi, na kilichowasaidia kutoingiliwa na wabinjukaji wengi Jirani yake ni Marekani, kwahiyo ukitaka kubinjuka Canada upitie Marekani kitu ambacho hakipo au wale mabeach boy wanaoungia kwa meli.
 
Lema in mwanasiasa anajulikana tofauti na wazamiaji wengine,ni kweli Canada inahitaji watu ila wako makini sana,kupigwa PI Canada ni kawaida
 
Polisi hawafanyi kazi za immigration, ukipigwa PI ujuwe ni tatizo lako.
 
Ndoto yangu ya kwenda mbele nilianza kufikilia nikiwa msingi lakn mambo bado na hakuna kukata tamaa now na miaka 24.hivyo nimeomba job sana nje na mitandao tofauti tofauti lkn mambo bado lkn naimani siku IPO ndoto itatimia. Picha hiyo chini ni application ambazo nimefanya paka sasa lkn bado alfu MTU anapata nafasi ya kusaidiwa alfu anazingua daaaah inauma sana yani anatuzibia nafasi sisi hata wenye kusaidia wakose kusaidia wengine sabab ya kuhofia ujinga wa MTU mmoja.
Screenshot_20230312-175124.png
 
Back
Top Bottom