Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 374
- 473
Msaada wenu wakuu.ingawa nilijaza green card mwaka Jana.lakn bado nahitaji mwongozo wenu wakuu.najua hapa jf nipo sehem sahihi Sabah kuna watu tofautitofauti na life ya MTU iko kwa MTU.jaman wakuu mwenye kuguswa na jambo hili naomba anisaidie ,ni bora kusema ukweli .nahitaji msaada wenu