Samaya
Senior Member
- Oct 24, 2012
- 127
- 181
Tatizo sisi tuliobahatika kusoma kidogo tunataka kazi za kukaa ofisin tu bila kujishughulisha na mbishe zingne,sahivi namtafuta mwana aniunge kwa wakala wake potelea mbaliKosa kubwa mwafrika alilofanya ni kudai UHURU kujiongozwa tumeproof failure.
Chek ni ajira ngapi zilipatikana kwenye mashamba makubwa ( estates) za mazao mbalimbali, viwandani,nk