Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Hadi wazazi nao ni kufanyia hisani kama watu baki?
wewe na huyo Kipangaspecial mjichunguze sana akili zenu

Mit 13:22 SUV​

Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.

Mzazi inabidi asaidie mtoto Hadi wajukuu not the other way around. Hayo ni maandiko sio mimi.
 
Msaada ni hisani sio haki. Fellow tanzanians need to understand it clearly. Yaani bila aibu unamlalamikia mtu kwa kutokutoa msaada as if ni haki yako.
Kibongo bongo watu wameshazoea kuwa msaada ni lazima yani kama wewe una pesa na baba yako mdogo ni hana uwezo kama wako hata kama ana nguvu za kufanya kazi ni lazima umsadie..

Na ukimjengea mazoea ya kumsaidi siku ukikwama na ukashindwa kutoa msaada tegemea kulaumia na kutishiwa laana
 
Yaani ni mwendo wa man alone na sometimes masterbation.

Yaani kote sawa lkn hizo kazi za UAE si poa. Ujenzi Kupiga machinga Mzee ni noma.
Nawaza Sana bongo hapafai.

Kanada hapo nawaza kuwa mtumishi wa Mungu

Nicheki naweza kukusaidia mkuu kama kweli una nia
 

Mit 13:22 SUV​

Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.

Mzazi inabidi asaidie mtoto Hadi wajukuu not the other way around. Hayo ni maandiko sio mimi.
Wazazi wengi wanataka watoto ndo wawasaidie
 
Mkishaenda huko mnakata mawasiliano na nyumbani..

huyu mtoto wa Dada mpaka leo ana miaka 17 yuko Marekani Mara South Korea. Mawasiliano yake na nyumbani ni shida sana.

Keshachukua na Uraia wa USA na ameajiriwa huko kama Mwanajeshi wa Marekani.

Imagine toka 2006 anaingia State na mke wake wa kizungu mpaka leo hajisikii hata kuwajengea wazazi wake😅😅😅

Yani bado wamepanga chumba na sebule hapo Gomz😅😅😅
View attachment 2528730
Unakuta baba kazi yake akipata hel ni kulewa na vimada huko kwenye vilabu vya pombe , anasubiri mtoto ndio amnunulie kiwanja na kumjengea yeye na mke wake.

for fvxck sake .. usihukumu watu ambao hujuwi kitu gani kimetokea kwenye familia yao..!

Na kamwa usiwaweke watoto wako kuwa retirement plan yako.

Kama wewe baba ulivyoamuwa kuoa na kuwa na mke na watoto, ndivyo hivyo hivyo na mwanao sasa kaoa na ana familia yake inayomtegemea,

sasa kivipi umpe mzigo wa kukuhudmuia wewe na mke wako ikiwa tayari ana mzigo wa kuhudumia familia yake yeye na watoto wake.??

Mzazi yyte kuhudumia watoto aliowazaaa ni jukumu lake, lakini sio jukumu la mtoto kumuhudumia mzazi..

Wazazi waache kelele za nimemsomesha (shule ya kata st. Kayumba hata ada hawalipi ) , hadi chuo (mtoto anamaliza na deni la hesbl)..
 
Back
Top Bottom