Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
IST na FEZA wanapelekwa kukua na sio kusoma Ili waajiriwe
Kila mtu anapenda mwanae akakue huko sio huku tunapoita chekechea na vidudu
IST na FEZA wanapelekwa kukua na sio kusoma Ili waajiriwe
Tafuta passport na fedha at least 1 M nenda kajilipue kama mtalii utapata 90 visa.
Ndani ya hizo siku 90 jitahidi upate kazi ukikosa itabidi urudishwe kama mtalii uliyefilisika
Una-passport?
Tanzania unatajirikaje? mbona watu wapo vile vile tu?
tunakimbia nchi sio kama hatuna hela ya kula HAPANA bali hatutaki watoto wetu waishi maisha yetu na kuhangaika ukubwani
Kama unaweza kusomesha mtoto IST bila stress basi baki Bongo. ila kama ada ya Feza boys inakutoa jasho basi wewe huna tofauti na mzamiaji
Elimu atayopata mwanangu ni 100% sawa na elimu anayolipia mtu IST m74 kwa mwaka, sasa bora nini
Kaka acha kabisa, Maisha ya Ulaya ni ya upweke wa balaa kwa mtu aliyetoka Africa, huwezi kwenda ka jirani wala sehemu kwamba nikale nipige soga na watu, Pesa sio kila kitu ila ukiwa na furaha ndio kila kitu.
Nilikua nawaza home mpaka nakonda, chakula nacho magumumashi hakina ladha, miezi 3 ya mwanzo nilipata tabu sana aisee.
saivi nakata mitaa kama sina akili nzuri
Alieko canada anishike mkono naamini sitamuangusha, nauki mpaka nafika huko niandae sh ngapi?
Na nikija kama mwanafunzi wa masters je?Ndugu ngoja nikupe mchanganuo kidogo tu
Chumba kimoja kwa mwezi ni $750
Chakula kwa mwezi kama ww ni $200
Kufika hapa bila kuwa mwanafunzi au worker huwezi survive hata mwezi.
Kama huna scholarship hakikisha una si chini ya 25m ya matumizi baada ya kulipa ada ya chuo
Na nikija kama mwanafunzi wa masters je?
Ni kweli sio woteAhaaaa embu sema si wote maana michakato ishaanza. Ila wakenya loh!!
Tafuta ujuzi /fani hakikisha una "skills set" watu wengi wanaishi sio kwasababu tu wana degree bali wamebobea kwenye ujuzi fulani na wanategeneza pesa vizuri tu.Sawa mkuu tunashkuru kwa taarifa.
Mimi elimu yangu ni kidato Cha nne, ( non professional) nawezaje kwenda nchi yoyote ya UAE au Qatar kufanya kazi ya ulinzi? Nisaidie kwenye eneo hili kama una uzoefu unipe msaada
Unaona mbali sana , kila siku na waambia watu . Watu wanaenda kupambana nje sio tu wanajipambania wao pekee, ni watu walio ji sacrifice kwajili ya familia ili kubadili hali duniTanzania unatajirikaje? mbona watu wapo vile vile tu?
tunakimbia nchi sio kama hatuna hela ya kula HAPANA bali hatutaki watoto wetu waishi maisha yetu na kuhangaika ukubwani
Kama unaweza kusomesha mtoto IST bila stress basi baki Bongo. ila kama ada ya Feza boys inakutoa jasho basi wewe huna tofauti na mzamiaji
Elimu atayopata mwanangu ni 100% sawa na elimu anayolipia mtu IST m74 kwa mwaka, sasa bora nini
Upo nchi gani mkuu?Kaka acha kabisa, Maisha ya Ulaya ni ya upweke wa balaa kwa mtu aliyetoka Africa, huwezi kwenda ka jirani wala sehemu kwamba nikale nipige soga na watu, Pesa sio kila kitu ila ukiwa na furaha ndio kila kitu.
Nilikua nawaza home mpaka nakonda, chakula nacho magumumashi hakina ladha, miezi 3 ya mwanzo nilipata tabu sana aisee.
saivi nakata mitaa kama sina akili nzuri
Upishi una taka kumpikia nani mkuu?Jamani humu watu wapo vizuri kushauri kuliko kusaidia,
Mko ulaya embu tuwatumie kama ngazi basi ,sisi ndio tutakao inuana jmn
Haya mnipe namna ya kusomea masters Canada hata ya mambo ya upishi sawa tu
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app