Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Acha kukurupuka Mkuu Mtoa mada.... Ametoa pendekezo kwa nchi ambazo ni rahisi kupata Mafanikio ya kiuchumi... Kama unataka Hanasa ndoo kimbilia USA ... ambako watu wengi wanakutolea macho MGENI
 
Acha kukurupuka Mkuu Mtoa mada.... Ametoa pendekezo kwa nchi ambazo ni rahisi kupata Mafanikio ya kiuchumi... Kama unataka Hanasa ndoo kimbilia USA ... ambako watu wengi wanakutolea macho MGENI

Nishajibu wewe ndo acha kukurupuka. Nitakujibu tena na wewe unipe jibu:

Nipo USA I know what I'm talking about. Kuna more than 11 million open positions right now in the US. Niambie nchi gani nyingine ina nafasi za kazi nyingi hivyo zilizo wazi? Kumbuka hili ndo taifa la kwanza kwa uchumi duniani.

By the last business day of December 2022, there were about 11.01 million job openings in the United States. Feb 2, 2023.


Nipe data zako nione huko kwingine?
 
Ila humu kuna watu wapo kwa ajili ya kukosoa na kupinga ata kama hajui lolote..
Kama huwezi wew waachie wengine wanaoweza jaribu .. wakashindwe wenyewe sio kukosoa kosoa tuu
 
Ebhaaa eeeh sis makabwela Tunaangalia zile nchi zinazofikika Kirahisi... Ndoo Kipaumbel cha Mleta Mada ...


>>>>>>Ka"Google Tena... Takwimu zako
 
We nawe anzisha uzi wako huko...
Yeye ameamua kuanza na hiyo anaendelea na nyingine shida ipo wapi.
Kujitia ujuaji ukute huna unachokijua
.
Na wew Bufa kakutoa kwenye reli sio,,, [emoji1787][emoji1787]
 
Umesahau Australia masta
Kuna mwana mmoja angepanga
1.Canada
2.Australia
3.USA

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kuna uwezakano wa kupata ajira ukisha-graduate ukiwa kwenye VISA ya mwanafunzi au mpaka urudi kwenu kwanza ndo uruhusiwe kuomba kazi??

Kwa Canada ukimaliza wanakupa miaka 3 ya kutafuta kazi(uliyosomea) ndani ya hiyo miaka 3 ukimaloza mwaka 1 unaomba ukazi wa kudumu

Sasa hivi wameongeza kama una visa ya matembezi (visitor visa au tourist visa) unaweza kuibadilisha kwenda work visa ukiwa ndani ya Canada wanakupa miaka 2 ya kazi
 
Du! Aiseee!! Opportunity zinafunguka halafu miaka yenyewe hii late 30's ndo umri unaelekea matiti .... πŸ˜”πŸ˜”... Enzi hizo 2010 tulijaribu na hizo Conference tukagonga mwamba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…