Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 374
- 473
Nisaidie Mimi umri bado haujaelekea matitiDu! Aiseee!! Opportunity zinafunguka halafu miaka yenyewe hii late 30's ndo umri unaelekea matiti .... ππ... Enzi hizo 2010 tulijaribu na hizo Conference tukagonga mwamba...
Siyo enzi hizo mkuu hadi sasa tunagonga miambaDu! Aiseee!! Opportunity zinafunguka halafu miaka yenyewe hii late 30's ndo umri unaelekea matiti .... ππ... Enzi hizo 2010 tulijaribu na hizo Conference tukagonga mwamba...
Unapoona wanaume wanajadili maisha wewe chukuwa kopo uewende msalani ukachambe. Fanculo.
nataka kwenda kuso,a PhD canada japo lengo ni kuzamia nikakae japo miaka mitano tu. tatizo lipo kwenye kupata sponsor
Kuliko kupoteza mda kutembeza bahasha ukitegemea kuokota kazi.
Kula kozi fupi ya ubaharia uza Shamba ingia Canada, korea kusini, Dubai, omba kozi ya kuendelea na kozi ya ubaharia Ili upate viza, piga shule kamata meli.
NB ubaharia ni wito, ni hobby, ni adventure ni Kazi ya kijana miaka 30 kushuka chini au miaka 50 kwenda juu ambae alishamaliza kuzaa. Hii Kazi ni kukaa mbali na familia.
Kazi ya kukaza moyo ukiwa mtoto wa Mama achana na Kazi hii, kuna mikondo huko utaomba poo ushuke.
Kuna Dogo humu JF nimemsaidia kapata viza ya Canada kakimbia na pesa ya watu ya documentation, yupo Toronto mwenyewe anajiona mjanja kwelikweli.Nisaidie Mimi umri bado haujaelekea matiti
Kwakuwa umeishia darasa la 4 huwezi kujuwa alichoandika.Mwanaume unalilia sponsor muulize askari wa Zanzibar [emoji16]
Mikondo ya maji baharini hadi meli zinachota maji kule mbele pote pana zama baharini KISHA inainuka tena sababu ya mawimbi,utaomba poo ushukeMikondo ya nini [emoji16]
Mbona scholarship za PhD ni rahisi na ndio za kumwaga?nataka kwenda kuso,a PhD canada japo lengo ni kuzamia nikakae japo miaka mitano tu. tatizo lipo kwenye kupata sponsor
Wakuu naona waganda wanaondoka sana kiwanja kwa kusingizia mashoga na wanaikimbia nchi yao kwa kusakwa na serikali ya museven naona hiyo ni fursa pia kwa upande wa wasafiri kafiri ukifika mambele unajilipua tu kwamba wewe shoga na unatoka uganda, utapewa mwanasheria, na hifadhi kwa kuhudumia kwa mwaka mzima Chakula, Hifadhi tena Sehemu classic kabisa then kesi ikienda poa unapewa ukaadhi maisha yanaendelea fanya chao chap wazeeee
Kuna Dogo humu JF nimemsaidia kapata viza ya Canada kakimbia na pesa ya watu ya documentation, yupo Toronto mwenyewe anajiona mjanja kwelikweli.
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kuwa waaminifu Sasa kila mtu ashinde mechi zake.
Unadhani wacanda mafala,hizo ni story za kijiweni hakuna nchi ngumu kwa sasa kutoa karatasi kama CanadaWakuu naona waganda wanaondoka sana kiwanja kwa kusingizia mashoga na wanaikimbia nchi yao kwa kusakwa na serikali ya museven naona hiyo ni fursa pia kwa upande wa wasafiri kafiri ukifika mambele unajilipua tu kwamba wewe shoga na unatoka uganda, utapewa mwanasheria, na hifadhi kwa kuhudumia kwa mwaka mzima Chakula, Hifadhi tena Sehemu classic kabisa then kesi ikienda poa unapewa ukaadhi maisha yanaendelea fanya chao chap wazeeee
Mkuu tumetofautiana.nikweli unapo msaadia MTU akatenda ndivyo sivyo inakuwa ngumu kumsaidia mwingine sababu ukingatwa na nyoka hata jani likikugusa unaruka.lakn kama una moyo wa kusaidia BC saidia tu Mungu ndo atakulipaKuna Dogo humu JF nimemsaidia kapata viza ya Canada kakimbia na pesa ya watu ya documentation, yupo Toronto mwenyewe anajiona mjanja kwelikweli.
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kuwa waaminifu Sasa kila mtu ashinde mechi zake.
Kudadeki huyo dogo mimi nimemumaindi kinyama .yani Mimi nahangaika kutafuta MTU atakaye nisaidia now miaka inazidi kwenda alfu yy anazingua hivyo daaah.Kuna Dogo humu JF nimemsaidia kapata viza ya Canada kakimbia na pesa ya watu ya documentation, yupo Toronto mwenyewe anajiona mjanja kwelikweli.
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kuwa waaminifu Sasa kila mtu ashinde mechi zake.
Ingekuwa unachosema ni kweli Lema asingepata asylum seeker akiwa Nairobi.Unadhani wacanda mafala,hizo ni story za kijiweni hakuna nchi ngumu kwa sasa kutoa karatasi kama Canada
Lema in mwanasiasa anajulikana tofauti na wazamiaji wengine,ni kweli Canada inahitaji watu ila wako makini sana,kupigwa PI Canada ni kawaidaIngekuwa unachosema ni kweli Lema asingepata asylum seeker akiwa Nairobi.
Canada wanachelewa tu kutowa viza, application zako wanakaa nazo muda mrefu lakini wakikupa viza imetoka hiyo.
Mpaka Sasa Canada ndio nchi inayohitaji watu zaidi, na kilichowasaidia kutoingiliwa na wabinjukaji wengi Jirani yake ni Marekani, kwahiyo ukitaka kubinjuka Canada upitie Marekani kitu ambacho hakipo au wale mabeach boy wanaoungia kwa meli.
Unatafuta sponsor? Wewe ni KE? Au ndio mambo ya lgbtnataka kwenda kuso,a PhD canada japo lengo ni kuzamia nikakae japo miaka mitano tu. tatizo lipo kwenye kupata sponsor
Polisi hawafanyi kazi za immigration, ukipigwa PI ujuwe ni tatizo lako.Lema in mwanasiasa anajulikana tofauti na wazamiaji wengine,ni kweli Canada inahitaji watu ila wako makini sana,kupigwa PI Canada ni kawaida
Kwahiyo Mo Dewji na GSM wanavyosponsor Simba na Yanga wanawatafuna wana Yanga na wana Simba?Unatafuta sponsor? Wewe ni KE? Au ndio mambo ya lgbt