Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kaka huku ujerumani iliwe uwe na uwezo wa kutoa barua ya mwaliko inabidi uwe na nyumba kubwa kidogo na pia uwena uwezo kiasi wa kifedha. Kwa sasa mimi ni mwanafunzi pia nina intern, na ninaishi kwenye studio apartment. Kwa hio sina vigezo vya kukupa barua ya mwaliko.
Unafanya Ausbildung.?

How is life there.?
 
Unafanya Ausbildung.?

How is life there.?
Hapana nipo Ingolstadt ninafanya Masters in Industrial Engineering and Management(Technische Hochschule Ingolstadt), currently nina intern na kampuni ya Continental Hapa Ingolstadt. Kuna changamoto kuubwasana na ninachosomea kama kujifunza python na mambo ya financial accounting juu ya Engineering. Aisee ni Mungu anasaidia mambo ni mengi na muda ni mdogo.
 
Aina za Visa zinazotelewa na serikali ya Ujerumani, maelekezo yapo katika tovuti hii hapa.
1700937281098.jpeg

1700937303092.jpeg

1700937315330.jpeg

1700937327064.jpeg

1700937344808.jpeg
 
Nachukiaga watu mnaochanganya lugha,umeona watu wameandika kiswahili wewe unajibu kiingereza,Tena kiingereza Cha kujumlisha na kiswahili,Sasa ndo nini icho?,ongea lugha moja,kama ni kingereza au kiswahili,ou sio ujanja.haya unaisemaje?
Niondolee Stress zako hapa.

Unachukiaga..??
Wewe kama nani.?
Stress peleka nyumbani kwako kwa mkeo.
 
Hapana nipo Ingolstadt ninafanya Masters in Industrial Engineering and Management(Technische Hochschule Ingolstadt), currently nina intern na kampuni ya Continental Hapa Ingolstadt. Kuna changamoto kuubwasana na ninachosomea kama kujifunza python na mambo ya financial accounting juu ya Engineering. Aisee ni Mungu anasaidia mambo ni mengi na muda ni mdogo.
Hongera sana Chief.

Mimi pia niko na Bachelor of science in Mechanical Enginering na Currently nasoma lugha (Deutsch) niko A2 but plan nipige hadi B1 nianze harakati za kuja huko.

Any advice bro.

Wewe ulichomokaje bongo .? Kwa BFD,FSJ au uliiaply masters moja kwa moja from bongo.?

Na kugha ya kufundishia hiyo Masters ni English au kijerumani.?
 
25 November 2023

TUKOMAE VIJANA, INAWEZEKANA 🇺🇸 🇺🇸✈️✈️

View: https://m.youtube.com/watch?v=7zJnIRn2ec0
Kutoka kusajili line za simu Tanzania hadi kuishi na kufanya kazi America US.

Kupitia kusaka katika mitandao tukiwa Tanzania tuliona programu ya kilimo na mifugo na kuifukuzia, na baadaye tulitua jimbo (state) la Nebraska, mikoani midwestern kwenye nyika ndefu iliyosamba nchini Marekani ikipakana na majimbo ya Wyoming ,Colorado, South Dakota, Iowa, Kansas, Missouri, ... kazi Marekani zinakutafuta tofauti na Tanzania unazisaka ...
Source : ArrivalTV
 
Hongera sana Chief.

Mimi pia niko na Bachelor of science in Mechanical Enginering na Currently nasoma lugha (Deutsch) niko A2 but plan nipige hadi B1 nianze harakati za kuja huko.

Any advice bro.

Wewe ulichomokaje bongo .? Kwa BFD,FSJ au uliiaply masters moja kwa moja from bongo.?

Na kugha ya kufundishia hiyo Masters ni English au kijerumani.?
Niliapply masters moja kwa moja. Lugha inayotumika ni ya kiingereza. Lakini kazini tunaongeza kijerumani. Ushauri wangu ni kuwa ukifika huku usiige mtu. Pambania malengo yako na usisahau ulipotoka. Wajerumani wakikosa kazi wanalipwa na serikali kila mwezi na wanalipwa kodi ya nyumba ukiwaiga utapotea. Kuna watanzania wamezaa na wajerumani wanalipwa hela ya watoto na serikali kila mwezi ukiwaiga unapotea. Piga kazi na ukiwa kazini jenga urafiki na wafanyakazi wenzako ila urafiki uegemee zaidi kwenye michongo ya hela na jinsi ya kujiendeleza. Ni rahisi sana kusahau ulipotoka maana starehe ni nyingi. Nimeshuhudia kabisa maboss wakubwa(C.E.O, C.F.O), maprofesa wa chuo wanavuta Cocaine. Kama haupo makini unaweza ukajiona mzungu(mjerumani) ukatumbukia humo. Wajerumani wakijua unachapa kazi ni marafiki wazuri sana tena kama mnafanya kazi pamoja. Akikushauri kitu ni uhakika na akikupa mchongo ni thabiti Watakusaidia sana na wapo honest hawasemi uongo. Yaani mjerumani atakuambia ukweli hata kama unauma.
 
Blocked Account ulifanyaje mkuu.?

Au ulideposit mzigo wote.?
 
Back
Top Bottom