Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Ushauri wangu kama una umri yaidi za miaka 25 hakikisha una Bachelor kabla haujaja majuu. Lakini kama ni kijana sizo mbaya ukija bila elimu. Pia kabla haujaja explore Tanzania nzima unaweza kukuta kuna fursa nzuri ambayo hauioni kwa sababu umeishi sehemu moja muda wote uliopo nchini. Huku majuu mpaka uwe umesimama inachukua muda kidogo.
Acha kukatieha watu tamaa,Kuna anko wangu katika US Ana miaka 50 na kitu Hana Cha bachelor Wala Diploma na anaishi huko na familia yake....Wabongo acheni ubinafsi.
 
Nikweli ni ngumu Sana Tena Sana

No kweli kwamba ni ngumu Sana Tena Sana kwenda bila kuwa na mwenyeji,lakini haina budi kujitoa muanga,maana tz inazidi kuwa ngumu Sana,alafu wa tz wengi walio uko wengi naona wakifika huko wanabadilika Sana,yani hawataki kutusaidia kabs,mimi nimewafatilia wa tz wengi ambao wapo nchi baadhi uko ughaibuni lakini hawtaki hata salami.sasa hakuna budi kwenda tu,maana ukisema usubiri mwenyeji unafia bongo na Umasikini.mimi nipo najipanga nkifikisha M 1 naenda kituo chetu Cha kwanza.ila kabla ya kwenda angalau kupitia huzi huu .Kama unandoto ya kwenda ulaya....,uandike google.maana hapo utapata kujua sehemu zakula bure,za kujiajili na vibarua,nk,ili ukifika uko angalau hata kimoja kikusaidie.ila kikubwa tuwe na ujuzi na tusibague kazi
M1 inatosha kukupeleka nje ya Afrika ?
 
Ingekuwa ni rahisi hivi basi kila agent angepeleka ndugu zake wote nje. Hapa wabongo ndo tunapokwama, mnataka kutafuniwa kila kitu.
Hapo ndo watanzania tunapofeli tunategemea kupewa kila kitu. Huku nje watu wanao prosper na kufanikiwa Afrika Mashariki ni wakenya maana hao wanajua nini maana ya shida. Sawa Tanzania tuna shida lakini bado tumebweteka sana. Inabidi serikali iongeze ugumu wa maisha kidogo ili tuamke aisee.
 
Acha kukatieha watu tamaa,Kuna anko wangu katika US Ana miaka 50 na kitu Hana Cha bachelor Wala Diploma na anaishi huko na familia yake....Wabongo acheni ubinafsi.
Huyo uncle wako alienda akiwa na miaka mingapi ? Na alienda lini ? Hizi nchi kila kitu kimepangiliwa na wanaenda na wakati. Uliza Diaspora watakuambia kwenda Marekani au nchi za ulaya miaka ya 90 ilikuwa rahisi kuliko miaka hii ya 2020. Sheria zimebadilika aisee, kama unataka kuzamia kama watu afrika magharibi pitia bahari ya Meditteranea. Ukifika huku wanakuuliza taaluma kama hauna taaluma wanakupa pesa ya matumizi kila mwezi kwa miezi kadhaa. Halafu wanatafuta siku moja wanakuja usiku wa manane, wanakwepa waandishi wa habari na majirani. Wanakupandisha ndege kwenu, huku kuna ugumu wake. Kila kitu kiko planned hakuna janja janja. Tatizo hamufuatilii habari angalia nchi kama Sweden wakimbizi wametuharibia. Huku ulaya waafrika wanakaririwa kama wauza madawa. Ili kukomesha hili ndo maana wamekuja na sheria mpya ambazo nimeorodhesha hapo juu. Wakenya wenye taaluma wengi sana wameomba kazi na wamepata huku. Huku inabidi ukaze makota kikweli kweli watu wanajiforce kujifunza courses online ili waende na hitaji la soko la kazi.
 
1700220277555.png
 
Una level gani kwenye ubaharia? Nadhani utakuwa umesoma DMI, Kwahiyo ulisoma nini au kozi gani na una cheti gani?

Dunia ya sasa siyo kuwa na seaman book ndio ubaharia.
Nimesoma short course nina mandatory certificate,rescue boat,rating part of navigation watch na CDC seatime 6 month ndo nimamaliza rating sasahivi
 
1700499924265.jpeg

Are you an academic from Sub-Saharan Africa and want to advance your education, contributing to sustainable development in your home country? The DAAD’s In-Country/In-Region scholarship programme offers support! Our scholarships promote the training of future professionals and university teachers in developing countries, focusing on postgraduate and doctoral programmes. By investing in higher education, we aim to empower professionals and leaders who can drive the political, economic, and social success of their home countries. Scholarship funding: - Tuition fees - Monthly scholarship rate - Study and research allowance - Printing allowance for final thesis - Travel allowance (for In-Region Scholarship holders) - Health insurance contribution (for In-Region Scholarship holders) The deadline for applications is 23 November 2023. You can find more information on the programme and the link to the DAAD scholarship database here: ➡ https://www.daad.de/en/information-services-for-higher-education. The deadline is this Thursday.
 
1700500077931.jpeg

You’re a professional who has completed their job training in a different country to Germany, and you’d like to work in your field? We acknowledge that it can be difficult to get degrees or job qualifications achieved abroad recognised, but the Recognition Portal by the German Federal Ministry of Education and Research (Bundesministerium für Bildung und Forschung) and the Federal Institute for Vocational Education and Training (Bundesinstitut für Berufsbildung (BIBB)) can help here. The portal provides you with all the necessary information on having your profession recognised so you can start your career in Germany. If you’re an employer in Germany or if you want to support people through their recognition process, you can find some information on how to do that as well. Check out the portal here: ➡ LinkedIn
 
Fikeni Goethe Insitute kila alhamisi kuanzia saa 14:00 Hrs mpaka 16:00Hrs. Wanatoa mwongozo jinsi ya kutumia hizi fursa, Ujerumani wana uhaba wa skilled labour. Ninaweka location ya hii taasisi hapa chini 👇 👇 👇 👇 👇
 
Huyo uncle wako alienda akiwa na miaka mingapi ? Na alienda lini ? Hizi nchi kila kitu kimepangiliwa na wanaenda na wakati. Uliza Diaspora watakuambia kwenda Marekani au nchi za ulaya miaka ya 90 ilikuwa rahisi kuliko miaka hii ya 2020. Sheria zimebadilika aisee, kama unataka kuzamia kama watu afrika magharibi pitia bahari ya Meditteranea. Ukifika huku wanakuuliza taaluma kama hauna taaluma wanakupa pesa ya matumizi kila mwezi kwa miezi kadhaa. Halafu wanatafuta siku moja wanakuja usiku wa manane, wanakwepa waandishi wa habari na majirani. Wanakupandisha ndege kwenu, huku kuna ugumu wake. Kila kitu kiko planned hakuna janja janja. Tatizo hamufuatilii habari angalia nchi kama Sweden wakimbizi wametuharibia. Huku ulaya waafrika wanakaririwa kama wauza madawa. Ili kukomesha hili ndo maana wamekuja na sheria mpya ambazo nimeorodhesha hapo juu. Wakenya wenye taaluma wengi sana wameomba kazi na wamepata huku. Huku inabidi ukaze makota kikweli kweli watu wanajiforce kujifunza courses online ili waende na hitaji la soko la kazi.
Alienda kwa njia ya ukimbizi akitokea kambi ya Zimbabwe,akiwa na familia yake,Mke na watoto wanne pamoja na shemeji yake wa kike....aliondoka Tanzania mwaka 2006 kafika Marekani mwaka 2016....kakaa kambini Zimbabwe miaka 10.

Aliondoka Bongo Ana miaka karibu 50.

Leo hii Ana miaka 60+,hakuwa na elimu pamoja na Mke wake,watoto ndio walipofika kule wakaendelea kusoma,Ila kwa Sasa wakubwa wanafanya kazi,watoto wadogo ndio wanasoma.

Alipofika kule walikuwa wanapiga vibarua Ila kwa Sasa yeye Hana uwezo wa kufanya kazi,Mke ndio anaendelea kupiga vibarua...kajenga Nyumba mbili na maduka...Hana elimu yeyote...Hadi Mambo mengine ya huko US anaelekezwa na watu wa huku.
 
Back
Top Bottom