Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Ushauri wangu kama una umri yaidi za miaka 25 hakikisha una Bachelor kabla haujaja majuu. Lakini kama ni kijana sizo mbaya ukija bila elimu. Pia kabla haujaja explore Tanzania nzima unaweza kukuta kuna fursa nzuri ambayo hauioni kwa sababu umeishi sehemu moja muda wote uliopo nchini. Huku majuu mpaka uwe umesimama inachukua muda kidogo.
Ila upo vizuri katika kukatisha tamaa,kwani elimu ya bongo ni sawa naya ulaya,alafu ni kweli wanaangaika elimu kuzidi ujuzi,kwaiyo ukiwa na vyeti unapata kazi haraka bila ujuzi wowote,harafu kwamba bongo Kuna fursa wajaribu kubadili mikoa,yaani bongo ambayo wabunge wanalipwa........,wewe elewesha vizuri kwamba haupendi kuona mtu anatoka bongo,na unatumia kuona mbongo ametoka bongo,na kwa roho hiyo ndomaana wabongo ni wachache ughaibuni
 
Hamna kaka naongea ukweli kuna watanzania wanapata kazi nyingi huku ughaibuni wame apply wakiwa huko. Huku watu wanaokomaa na kuvumilia shida ni wanaokuja kwa njia za kuzamia kupitia Medeterenian sea. Huku bila elimu ni ngumu sana lakini ukiwa na cheti cha nyumbani kazi unapata. Kazi ambazo zipo favored ni Information Technology ,Engineering na Masuala ya Afya. Kazi za mikono huku utafanya lakini baada ya kulipa bills unabaki na hela kidogo sana. Ukiangalia nchi za ulaya hadi uje usimame inachukua miaka mitano mpaka mitatu. Lakini inakuwa rahisi zaidi ukiwa na cheti. Ujerumani wamejifunza maana huku wakimbizi wengi walikuwa wanakuja kupitia mediteterenian sea. Hawa wakimbizi walikuwa hawana taaluma na wengine hata hawajui lugha nje ya lugha zao za nyumbani. Huku vijana au kizazi kimepungua na inabidi wawalipe wazee pensheni. Ili wafanikiwe inabidi waajiri watu wengi ili mfuko wa hifadhi ya jamii utoshee kulipa wastaafu. Ujerumani kuanzia mwakani wanatoa offer ya blue card ukipata kazi ujerumani unapewa miaka minne ya residency na sio Visa changamkeni. Tatizo huku Tanzania wenye vyeti na kazi wengi wameridhika na hawataki kujaribu fursa abroad. Na huku hawangalii kabila wala nini. Huku ni vitu viwili tu taaluma na pesa ndio muhimu. Hata ukiangalia masharti ya Visa katika nchi nyingi. Kuna option ya kuwa na blocked account(pesa) au kuapply kazi(Taaluma) na kuipata. Huu ndo ukweli ninaongelea kuhusu Ujerumani sijui kuhusu nchi nyingine.
 
🙏🙏🙏
 
Mimi nipo oman muscat nina mwenzi kama wa nane ndoto yangu kubwa ilikuwa kwenda korea ila baada kuona mfuko wangu mdogo nikaamua kuingia huku muscat alhamdullilah nmepata kazi maisha yanaenda
nipe mchongo wa huko mkuu
 
Nikweli ni ngumu Sana Tena Sana

No kweli kwamba ni ngumu Sana Tena Sana kwenda bila kuwa na mwenyeji,lakini haina budi kujitoa muanga,maana tz inazidi kuwa ngumu Sana,alafu wa tz wengi walio uko wengi naona wakifika huko wanabadilika Sana,yani hawataki kutusaidia kabs,mimi nimewafatilia wa tz wengi ambao wapo nchi baadhi uko ughaibuni lakini hawtaki hata salami.sasa hakuna budi kwenda tu,maana ukisema usubiri mwenyeji unafia bongo na Umasikini.mimi nipo najipanga nkifikisha M 1 naenda kituo chetu Cha kwanza.ila kabla ya kwenda angalau kupitia huzi huu .Kama unandoto ya kwenda ulaya....,uandike google.maana hapo utapata kujua sehemu zakula bure,za kujiajili na vibarua,nk,ili ukifika uko angalau hata kimoja kikusaidie.ila kikubwa tuwe na ujuzi na tusibague kazi
hiko kituo kipo mkoa gani ..?
 
Korea kuna jamaa yangu ameenda juzi tu.hii ni mara yake ya pili,huwa anatumiwa hela ya tiket ya kwenda na kurudi,kule kuna kazi za shamba ,upandaji wa miche ya matunda na uvunaji wa matunda.

Alisema kule ni kazi kazi na kama wewe ni lele mama hutapaweza.Mana wanaenda na mda vibaya mno .Mda wa kulala usiku panawahi sana kukucha na mda wa mchana masaa hayaendi kabisa .

Sehemu ambayo huwa anafikia ni sehemu iliyo tengwa kwa ajiri ya wazee,hivyo kuona msichana au mu mama ni ngumu hadi uende mjini.

Huwa ana sema kule kupata mtu wa kibarua ni kazi kweli kweli,na hata mwenyeji wake huwa anamwambia asije akamkacha akiwa kule,mana vibarua ni adimu mno hasa waafrika mana ndo wachapa kazi tofauti na race zingine.

Malipo yake ni mazuri sana ila mziki wake ni wa moto mana unaweza kaa miezi sita hujaona binti wala mu mama.Ni wewe na kazi kazi na wewe ,ni kujitoa hasa.mana ni upweke wa [emoji817]%

Jamaa ni dereva wa lori ila huwa anaacha kazi huku anafata mkate wa kule .
Mkuu naomba niunganishe na uyo jamaa yako
 
Kuna upweke kuliko kukaa Bongo huna ramani? Unaposema kazi ngumu ni kazi ngumu IPI hiyo wakati kazi ngumu zinafanywa na mashine?

Bongo wanaofanya kazi za tourism hasa hunting wanakaa porini camp miezi 6 bila kurudi nyumbani, watu wa migodini wapo camp, bado sijaelewa sehemu unayotengeneza pesa unakuwa mpweke vipi?

Hakuna bia? Hakuna TV? Hakuna simu? Hakuna internet? Hakuna off? hebu tuache akili za kijinga hizi.

Wale kataa ndoa huoni sehemu hakuna mademu ndio zinawafaa zaidi?
Wabongo kwenye suala la kupeana michongo ni kutishana tu. Sasa kwenye kujitafuta hivi kukaa miezi 6 bila sexy nayo ni ishu?
 
Wanajamii hizi ni njia ambazo utatumia hela kidogo kuja au kufaidika na system ya nchi zilizoendelea. Huko nyuma nilisema kuwa ukiwa na Umri mkubwa inabidi angalau uwe na cheti au ujuzi then uombe kazi huku majuu. Kwenye hizi website unaweza kupata kazi remote na kazi za work from office. Ukipata remote utafanya kazi na kulipwa ukiwa Tanzania(Kazi nyingi za hivi ni za sekta ya IT) lakini ukipata za work from office utadhaminiwa VISA na kuja kufanya kazi huku. Kuna watanzania nilikutana nao huku waliapply kazi wakapata. I was amazed and grateful for them. Ujerumani inahiaji skilled workers.Hizi ni baadhi za website ambazo unaweza ukaapply kazi na ukapata .
https://germantechjobs.de/en

Developer job offers on your terms

IT & Technology English-speaking jobs in Germany | IamExpat Jobs

IT specialists

https://www.stepstone.de/jobs/it/in-germany

https://www.glassdoor.com/Job/germany-information-technology-jobs-SRCH_IL.0,7_IN96_KO8,30.htm

https://www.totaljobs.com/jobs/it/in-germany
Nyingine hizi hapa, zinaoffer remote jobs pia:
Go Transcript - https://gotranscript.com/careers
Automattic - https://www.flexjobs.com/remote-jobs/...
Liveops - https://recruiting2.ultipro.com/LIV10...
Apple - https://www.apple.com/careers/us/appl...
Sitel Group - https://www.flexjobs.com/remote-jobs/...
Asurion - https://careers.asurion.com/listjobs/
Clipboard Health - https://www.clipboardhealth.com/profe...
Primer API - https://www.flexjobs.com/remote-jobs/...
Uhaul - https://jobs.uhaul.com/OpenJobs
Accenture - https://www.accenture.com/us-en/caree...
Gengo - http://careers.gengo.com/
Wikimedia Foundation - https://wikimediafoundation.org/about...
Airbnb - https://careers.airbnb.com/positions/
Working Solutions - https://jobs.workingsolutions.com/apply/
Boldly - https://boldly.com/jobs/open-positions/
Concentrix - https://careers.concentrix.com/careers

☝️ ☝️ ☝️ ☝️ Hizi hapa ni kwa hisani ya "Kenyan AMerican Home " ana youtube chanell unaweza ukamcheki @ https://www.youtube.com/@TheKenyanAmericanHome

Njia ya pili ambayo unaweza kuitumia kuja huku ni kwa ajili ya wale wenye umri wa miaka 18-26. Kuna kitu kinaitwa Au-pair hii ni Visa inayomruhusu mtu kuja kuishi na familia ya huku kwa muda wa mwaka mmoja masharti ya Umri yanategemea nchi na nchi kwa Ujerumani masharti ni miaka 18-26, pia uwe unajua kijerumani at least A1 level. Lakini unaweza kutembelea hii website ukajionea masharti ya nchi zingine maana unaweza ukapata masharti rafiki kwako. Katika umri, hautakiwi kuwa zaidi ya miaka 30 katika kuapply unaweza kuangalia vigezo katika website hii. Hapa kama utachugua nchi ambayo inahitaji kujifunza lugha itabidi ujilipie ujifunze lugha ukiwa nyumbani Tanzania then ndo uapply huku.
👇👇👇👇👇

Hitimisho: Chondechonde nawaasa waaafrika wenzangu msije mkazamia katika hizi nchi. Utaishi maisha ya kuteseka sana maana utashindwa kupata kazi nzuri. Na hakuna sehemu utaweza kudai haki zako. Wajerumani na nchi nyingi za ulaya ukiwa hauna makaratasi wanakudeport. Nimeona wwatu wanatoka Afrika magharibi wamekuja na njia za panya wengi wao ni homeless. Na ukiangalia sasa hivi baridi inaingia, wengi wameshakata tamaa ya maisha kwa sababu kule kwao kuna vita k.v Kameroon n.k. Bora uje kwa njia hizi maana ukija kwa njia ya AU-pair familia utayoishi nayo itakupa mwongozo kama unataka kubaki. Na ukija na Work-Visa utathaminiwa kama mjerumani maana huku ukifanya kazi wanakuthamini kama Raia wa huku. Hizi njia utatumia hela kidogo zaidi maana hautahitaji kuonesha au kuwa na hela ya kujikimu.
 
[emoji3516] [emoji3516] [emoji3516] [emoji3516] Hizi hapa ni kwa hisani ya "Kenyan AMerican Home " ana youtube chanell unaweza ukamcheki @ https://www.youtube.com/@TheKenyanAmericanHome

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Thanks for information
 
Na vipi kuhusu kazi za ubaharia
 
Ujerumani nimepiga sana kazi miaka ya 2016-2018 hadi nikajenga nyumba yangu ya kwanza. Nilikuwa naenda kiangazi kufanya kazi za kusafisha viwandani wakati vimefungwa kwa renovation. Nilipapenda sana ila kama lugha yao haipandi utapata changamoto kidogo. Still ni nchi ambayo Na recommend sana mtu kujitupa akipata nafasi.
 
Back
Top Bottom