Unafanya Ausbildung.?Kaka huku ujerumani iliwe uwe na uwezo wa kutoa barua ya mwaliko inabidi uwe na nyumba kubwa kidogo na pia uwena uwezo kiasi wa kifedha. Kwa sasa mimi ni mwanafunzi pia nina intern, na ninaishi kwenye studio apartment. Kwa hio sina vigezo vya kukupa barua ya mwaliko.
Hapana nipo Ingolstadt ninafanya Masters in Industrial Engineering and Management(Technische Hochschule Ingolstadt), currently nina intern na kampuni ya Continental Hapa Ingolstadt. Kuna changamoto kuubwasana na ninachosomea kama kujifunza python na mambo ya financial accounting juu ya Engineering. Aisee ni Mungu anasaidia mambo ni mengi na muda ni mdogo.Unafanya Ausbildung.?
How is life there.?
Niondolee Stress zako hapa.Nachukiaga watu mnaochanganya lugha,umeona watu wameandika kiswahili wewe unajibu kiingereza,Tena kiingereza Cha kujumlisha na kiswahili,Sasa ndo nini icho?,ongea lugha moja,kama ni kingereza au kiswahili,ou sio ujanja.haya unaisemaje?
Hongera sana Chief.Hapana nipo Ingolstadt ninafanya Masters in Industrial Engineering and Management(Technische Hochschule Ingolstadt), currently nina intern na kampuni ya Continental Hapa Ingolstadt. Kuna changamoto kuubwasana na ninachosomea kama kujifunza python na mambo ya financial accounting juu ya Engineering. Aisee ni Mungu anasaidia mambo ni mengi na muda ni mdogo.
Nishauriwe namna nzuri ya kuongea na huyu uncle wangu jins ataweza kunielewa na kufanikisha kunivuta usUnataka ushauriwe nini mkuu?
Mwakan mwez 3 anakuja tz kwa mar ya kwanzaNishauriwe namna nzuri ya kuongea na huyu uncle wangu jins ataweza kunielewa na kufanikisha kunivuta us
AhsanteeKaribu
Mpwaaa lazima niende ulayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah mpwaa [emoji23]
Hujawahi kufeli mpwaa nakukubaliMpwaaa lazima niende ulayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah asee25 November 2023
TUKOMAE VIJANA, INAWEZEKANA 🇺🇸 🇺🇸✈️✈️
View: https://m.youtube.com/watch?v=7zJnIRn2ec0Kutoka kusajili line za simu Tanzania hadi kuishi na kufanya kazi America US. Kupitia programu ya kilimo na mifugo tulitua jimbo (state) la Nebraska, mikoani nchini Marekani ...
Source : ArrivalTV
Niliapply masters moja kwa moja. Lugha inayotumika ni ya kiingereza. Lakini kazini tunaongeza kijerumani. Ushauri wangu ni kuwa ukifika huku usiige mtu. Pambania malengo yako na usisahau ulipotoka. Wajerumani wakikosa kazi wanalipwa na serikali kila mwezi na wanalipwa kodi ya nyumba ukiwaiga utapotea. Kuna watanzania wamezaa na wajerumani wanalipwa hela ya watoto na serikali kila mwezi ukiwaiga unapotea. Piga kazi na ukiwa kazini jenga urafiki na wafanyakazi wenzako ila urafiki uegemee zaidi kwenye michongo ya hela na jinsi ya kujiendeleza. Ni rahisi sana kusahau ulipotoka maana starehe ni nyingi. Nimeshuhudia kabisa maboss wakubwa(C.E.O, C.F.O), maprofesa wa chuo wanavuta Cocaine. Kama haupo makini unaweza ukajiona mzungu(mjerumani) ukatumbukia humo. Wajerumani wakijua unachapa kazi ni marafiki wazuri sana tena kama mnafanya kazi pamoja. Akikushauri kitu ni uhakika na akikupa mchongo ni thabiti Watakusaidia sana na wapo honest hawasemi uongo. Yaani mjerumani atakuambia ukweli hata kama unauma.Hongera sana Chief.
Mimi pia niko na Bachelor of science in Mechanical Enginering na Currently nasoma lugha (Deutsch) niko A2 but plan nipige hadi B1 nianze harakati za kuja huko.
Any advice bro.
Wewe ulichomokaje bongo .? Kwa BFD,FSJ au uliiaply masters moja kwa moja from bongo.?
Na kugha ya kufundishia hiyo Masters ni English au kijerumani.?
Aisee unafeli ndugu yangu tafuta kazi ambayo ina Visa sponsorship na ambayo unaiweza kuifanya(umeisomea na una uzoefu nayo). Usidanganye maana ukidanganya utajiharibia CV.Poa bhana,haina shida ngoja nizidi kuaply.mpk saivi kunakazi nimeomba,ila nimeulizwa👇👇👇,hapo ndo huwa nakwama
Hongera sana Chief.Niliapply masters moja kwa moja. Lugha inayotumika ni ya kiingereza. Lakini kazini tunaongeza kijerumani. Ushauri wangu ni kuwa ukifika huku usiige mtu. Pambania malengo yako na usisahau ulipotoka. Wajerumani wakikosa kazi wanalipwa na serikali kila mwezi na wanalipwa kodi ya nyumba ukiwaiga utapotea. Kuna watanzania wamezaa na wajerumani wanalipwa hela ya watoto na serikali kila mwezi ukiwaiga unapotea. Piga kazi na ukiwa kazini jenga urafiki na wafanyakazi wenzako ila urafiki uegemee zaidi kwenye michongo ya hela na jinsi ya kujiendeleza. Ni rahisi sana kusahau ulipotoka maana starehe ni nyingi. Nimeshuhudia kabisa maboss wakubwa(C.E.O, C.F.O), maprofesa wa chuo wanavuta Cocaine. Kama haupo makini unaweza ukajiona mzungu(mjerumani) ukatumbukia humo. Wajerumani wakijua unachapa kazi ni marafiki wazuri sana tena kama mnafanya kazi pamoja. Akikushauri kitu ni uhakika na akikupa mchongo ni thabiti Watakusaidia sana na wapo honest hawasemi uongo. Yaani mjerumani atakuambia ukweli hata kama unauma.
Nilipata mdhamini sehemu niliyokuwa nafanya kazi mkuuHongera sana Chief.
Blocked Account ulifanyaje mkuu.?
Au ulideposit mzigo wote.?