Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Unaweza ukaomba kazi directly kwenye mitandao kuna watu wanapata kazi huko lakini hakikisha una angalau B1. Njia nyingine kama una hela ni ku-apply chuo. Chuo huku ni sawa na bure utachotakiwa ni kuwa na hela ya kulipia blocked account. Nilituma huku kama sikosei kwenye post zilizopita.Hiyo ni Annual Salary.
Hapo Take home inaweza kuwa ngapi kwa experience yako.?
2.Mimi napiga lugha niko B1 natarajia kumaliza mwezi wa 4.Njiaa nzuri ya kuingia huko ni ipi as per your experience.Niko na Bsc.in Mechanical engineering with 3 years experience.
Nimefatilia FSJ na BFD kwa mimi naona kama nitapoteza mda tu.? Au wasemaje mkuu.